Efatha Church Singida

Efatha Church Singida Healing and deliverance by the Blood of JESUS.

IBADA YA JUMAPILI TAREHE 23/5/2026                             IBADA YA SHUHUDA NA SHUKRANI  Zaburi 105:1-51. Haleluya m...
24/05/2026

IBADA YA JUMAPILI TAREHE 23/5/2026
IBADA YA SHUHUDA NA SHUKRANI
Zaburi 105:1-5
1. Haleluya mshukuruni Bwana ,liiteni jina ,Wajulisheni watu matendo yake .
2. Mwimbieni,mwimbieni kwa zaburi,Zitafakarini ajabu zake zote.
3. Jisifuni kwa jina lake takatifu, Na ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana.

MT: WIRTNESS
Naitwa Witness namshukuru Mungu kwa mengi alionitendea, mmewangu alikua hana kazi , tulikua na maisha magumu .
nimekuwa ni mtu ninaye kuja kanisani kila sku, nikiomba Mungu ampe Mmewangu kazi, Siku moja Mmewangu alipigiwa Simu na rafiki yake aje Singida kusimamia duka faida itakayo patikana watagawana, haikua rahisi,kutokana nahayo sikua tayari tena kubeba ujauzito ,kutokana na ugumu huo wa maisha ,lakini Mungu alivyo Wa ajabu nikashika Ujauzito na Mtoto huyo akawa nibaraka kwa maisha yetu
Pia, nashukuru kwa mtoto wang kuongeza mwaka mwingine haikua rahisi ni miujiza na amekua mtoto wa pekee wa kiume katika uzao wangu hakika Mungu anatenda na kufanya yaliyo makuu AMINA.

24/05/2026
24/05/2026

Address

1529
Singida

Telephone

+255767117824

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church Singida posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha Church Singida:

Share