Hema ya ahadi

Hema ya ahadi HEMA YA AHADI ni mtazamo wa kiijili unaowaleta watu pamoja kupokea ahadi za Mungu zinazopatikana ndani ya Bwana wetu Yesu kristo.

tuna waalika watu wote popote kuja kushiriki pamoja nasi katika baraka za injili ya Bwana na mokozi wetu Yesu Kristo.Nembo hii ya Hema ya ahadi ni taswira halisi ya Bwana wetu Yesu kristo.Ikumbukwe kwamba hatu muhubiri Yesu wa kwenye sinema ya mateso ya Bwana Yesu, bali tuna muhubiri Bwana Yesu Kristo ambae ni Bwana na mwokozi wa ulimwengu wote.Hema ya ahadi ndiyo mfano halisi wa Bwana Yesu Kri

sto na Bwana Yesu Kristo ndiye Hema halisi ya ahadi za Mungu. kila mmoja wetu atarajie kupokea majibu ya mahitaji yetu katika Hema ya ahadi. unaweza kushiriki nasi kupitia ukurasa huu wa Hema ya ahahidi au unaweza kufika kituoni IKUNGI-SINGIDA, KANISA LA KLPT.

Address

IKUNGI KLPT
Singida
255

Telephone

255753635863

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hema ya ahadi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Hema ya ahadi:

Share