MUNGU NI MWEMA KWETU

MUNGU NI MWEMA KWETU UKURASA WA KUJENGANA KIIMANI ILI TUONE BARAKA ZA MUNGU MAISHANI MWETU!!
“Mungu ni upendo.” (1 Yoh. 4:8)
Upendo ndiyo sifa yake kuu.

ISAYA 43:4"Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa w...
17/05/2026

ISAYA 43:4
"Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako"

Tukiishi kwa kumpendeza Mungu ,basi Upendo,heshima ,Ulinzi na Thamani yetu italindwa na Mungu mwenyewe.Naye Mungu atatupa kila aina ya usaidizi kwa jambo lolote tynalohitaji,kwa utukufu wa jina lake!
AHADI YA MUNGU NI KWELI NA AMINA✍️🙏🏼

10/05/2026

ISAYA 43:4
"Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako"

Tukiishi kwa kumpendeza Mungu ,basi Upendo,heshima ,Ulinzi na Thamani yetu italindwa na Mungu mwenyewe.Naye Mungu atatupa kila aina ya usaidizi kwa jambo lolote tynalohitaji,kwa utukufu wa jina lake!
AHADI YA MUNGU NI KWELI NA AMINA

08/04/2026

ZABURI 96:1-3
"Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Mwimbieni BWANA,nchi yote. Mwimbieni BWANA, libarikini jina lake, Tangazeni wokovu wake siku kwa siku. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake, Na watu wote habari za maajabu yake."

Mungu wetu ni mwema sana, nasi yatupasa kumwamini na kumsifu kwa ukuu wake kwetu maana ametutendea makuu sana maishani.
Hata k**a hajajibu tulivyotaka, anabaki kuwa Mungu kwetu.
TUMSIFU NA KUMSHUKURU MUNGU KILA WAKATI❤️❤️❤️

29/03/2026

YEREMIA 15:19
"Kwa sababu hiyo BWANA asema hivi, Ukirudi, ndipo mimi nitakapokurejeza, upate kusimama mbele zangu; nawe ukitoa kilicho cha thamani katika kilicho kibovu, utakuwa k**a kinywa changu; nao watakurudia wewe, bali hutawarudia wao"

Ni ahadi ya Mungu kwetu kutupatia baraka kubwa na za thamani k**a tutaacha njia zetu mbovu na kumrudia Yeye; nasi tutakula mema ya nchi. Majira yqha yq kwaresma tufanye toba ya kweli na tumtolee Mungu vilivyo vinono na si vibovu. YATUPASA TUMREJEE MUNGU💜

MWANZO 22:17"Katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako k**a nyota za mbinguni, na k**a mc...
01/02/2026

MWANZO 22:17
"Katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako k**a nyota za mbinguni, na k**a mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao"

Ni ahadi ya Mungu kutupa, Amani na Baraka, Kumiliki na kutawala mali, viumbe na hata Mlango wa Adui zetu, ila yote haya ni endapo tutakubali kuzishika Amri zake na kumtumikia yeye kwa uaminifu.
KUMTUMIKIA MUNGU KUNA FAIDA.🙏

Address

Singida

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MUNGU NI MWEMA KWETU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share