25/10/2020
Muhimu somaaaa ni unabiiii wa kipindi hiki somaaaaa utakuvusha na utanikumbuka.
Ujumbe kwa taifa na dunia wa mwisho wa mwaka na 2021,somo lililo ambatana na unabiii kutoka kwa mtume na nabii mwasha alilopewa tarehe 19,08,2020 kwa ajili ya Tanzania na dunia.
Kuna kipindi kina kuja juu taifa na dunia ambapo familia nyingi zitajazwa huzuni na masononeko ya kila namna ila wale watakao daka hili Neno watapona na janga la huzuni na masononeko.
Ufanye nini?unaposongwa na huzuni.
Mambo 7 yaliyopo nyuma ya huzuni yako ambayo Mungu anataka uone ,na shetani ataki ujue..
Proof text 26:36
A) MUNGU anataka uone nguvu ya MAOMBI inavyoweza kukuvusha katika huzuni yako ila shetani anataka uone kikombe kilivyo kikubwa mbele yako kuliko nguvu za kiroho za maombi ndani yako.
B)mapenzi ya Mungu ndani ya huzuni yako.
Nyuma ya kila huzuni unayopitia Kuna mapenzi ya Mungu makubwa sana na mazuri mno,sema kazi ya huzuni nikufunika macho yako usione uzuri wa Mapenzi ya Mungu katikati ya huzuni yako
Hakuna jambo zuri la kiungu litakalo funuliwa kwako bila shetani kuliambatanisha na huzuni na masononeko lengo lake utumie muda mwingi kwenye huzuni kuliko kuomba lililo jema (mapenzi ya Mungu ya timizwe)mfn msiba wa uzia isaya angekaa kwenye huzuni yake asinge mwona Mungu.
C)Maombi ya mkesha yanayo kurengenezea stamina ya kupambana na huzuni, wakati imekuvamia.
Mungu anatamani uwe na mkesha wa maombi kwa ajili ya kukuandaa uweze kuwa na stamina ya kuendelea kushika imani hata k**a huzuni imekuvamia.
Shetani Kiu yake kubwa ni wewe usiwe na stamina ya kushika imani bali uiache na kupambania huzuni yako.
D)Pumziko la kiungu ndani ya huzuni.
Mungu muda mwingine hata ondoa huzuni yako atakuletea pumziko la kiungu ndani ya huzuni yako ,ili kukusaidia uweze vuka salama katika hiyo huzuni bila kupata madhara ya kiroho wala kimwili.
lengo la shetani kukuletea huzuni ili aondoe pumziko akuletee mahangaiko, nyuma ya kila huzuni kuna pumziko ambalo shetani ataki uone.
1 nyuma ya huzuni ya Yesu =kuna pumziko la wokovu
2 nyuma ya huzuni ya mordecai na esta =pumziko la wayahudi.
3nyuma ya huzuni ya Daniel =pumziko la kifalme.
Unapoona huzuni mwombe Mungu akufunulie pumziko lililoko mbele
4 Nyuma ya huzuni ya Yusufu=kuna pumziko la kupata cheo.
Walawi 26:35 Wakati wote itakapokuwa na ukiwa, itapumzika; ni hayo mapumziko ambayo haikuwa nayo katika Sabato zenu, hapo mlipokaa katika nchi hiyo.
Haijalishi umesafiri kwa muda gani ndani ya jaribu au huzuni ila usisahau kuomba uwepo wa Mungu ndani yako ukutengenezee nafasi ya pumziko ndani ya hio huzuni k**a sanduku la Agano lilivyo watafutia nafasi au mahali pa kupumzika baada ya siku tatu.
Hesabu 10:33 Basi wakasafiri kutoka penye mlima wa BWANA safari ya siku tatu; na sanduku la agano la BWANA likatangulia mbele yao mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupumzika.
E)kuona saa iliyo karibia ya uovu au wema.
Kwenye kila huzuni Mungu anataka uone saa inayo karibia iwe ya uovu au wema huzuni yeyote imebeba saa fulani ndani yake.
Jifunze kuharibu saa mbaya nyuma ya kila huzuni yako na ufungulie saa njema kwa ajili ya farijiko lako .
Luka 2:38 Huyu alitokea saa ile ile akamshukuru Mungu, na wote waliokuwa wakiutarajia ukombozi katika Yerusalemu akawatolea habari zake.
Saa ya kusulubishwa. haribu
Saa ya mashangilio .ifungulie
Nyuma ya kila huzuni kuna saa ya mashangilio.
F) huzuni inazuia kuondoka kwako ,na pia inanifanya usiweze kwenda pamoja na Mungu.
Lengo la Mungu kwenye kila huzuni kuna mwondoko na mwongozo mpya anaotaka uanze kwenda nao wewe binafsi na pia kuna Safari mpya ya kimahusiano na kimawasiliano anayotaka anze na wewe.
Mwondoko wa kiungu na kwenda kiungu ni vitu viwili tofauti.
Unaweza ukaondoka na usiende unakotakiwa kwenda.
Huzuni inakazi ya kukufanya usiondoke au hata ukiondoka usiende unapotakiwa kwenda,yaani shetani hutumia kukupoteza Ramani.
G malaika wa kuihudimia au wakukuhudumia ndani ya huzuni yako ili isikumeze.
Ni muhimu kuomba huduma ya malaika wanao husika kutia nguvu na kukuhudumia ndani ya huzuni k**a jinsi walivyo hudumia wafuatao
A)malaika walivyo mhudumia Yesu
B)malaika walivyo mhudumia Daniel
C)malaika walivyo mhudumia lutu.
D)malaika walivyo hudumia wanawake wa kiebrania na mama yake musa na Yesu.
Kutoka kwa mtume na nabii mwasha sambaza Neno hili kwa magroup 100 kuna muujiza utapokea ndani ya siku 7.piga 0676444295,0693444295 ushuhudie muujiza.