Jerusalem Spiritual Centre

Jerusalem Spiritual Centre Spiritual Church

30/11/2016

Pro17 "The fear of the Lord is the beginning of Knowledge"
Mithali 1:7 "Kumcha Bwana ndio chanzo cha Maarifa..."

16/03/2016
26/11/2015
Wakubwa kwa Wadogo; Wake kwa Waume, Mungu yupo kwa ajili yetu sote. Karibu kwenye  , pia alika watu wengine na Mungu Aku...
30/09/2015

Wakubwa kwa Wadogo; Wake kwa Waume, Mungu yupo kwa ajili yetu sote. Karibu kwenye , pia alika watu wengine na Mungu Akubariki.

Muda wa   mbalimbali za jinsi Mungu alivyowaponya watu wake kwa namna ya ajabu kabisa. Mungu anakupenda sana na ana mpan...
30/09/2015

Muda wa mbalimbali za jinsi Mungu alivyowaponya watu wake kwa namna ya ajabu kabisa. Mungu anakupenda sana na ana mpango mkubwa juu ya maisha yako (uwe umeokoka au haujaokoka). Karibu kwenye kesho hapa kanisani kuanzia saa 10:00 hadi 12:30 Jioni.

Sikio lake la kushoto lilikuwa halisikii lakini BWANA amemponya. Sasa limefunguka na anasikia vizuri kabisa. Utukufu kwa...
29/09/2015

Sikio lake la kushoto lilikuwa halisikii lakini BWANA amemponya. Sasa limefunguka na anasikia vizuri kabisa. Utukufu kwa Mungu wetu, Jehova.

MKUTANO UNAENDELEA hapa Kanisani wakati huu. Rev. Dr. Christian Kiwia kutoka Marekani yupo pamoja nasi na Neno litakalok...
29/09/2015

MKUTANO UNAENDELEA hapa Kanisani wakati huu. Rev. Dr. Christian Kiwia kutoka Marekani yupo pamoja nasi na Neno litakalokutoa mahali ulipokwama. Karibu Sana na Mungu Akubariki!

MKUTANO WA NENO LA MUNGU UMEANZA LEO HAPA JERUSALEM na utaendelea HADI JUMAPILI IJAYO. Ni kuanzia saa 10:00 - 12:30 JION...
27/09/2015

MKUTANO WA NENO LA MUNGU UMEANZA LEO HAPA JERUSALEM na utaendelea HADI JUMAPILI IJAYO. Ni kuanzia saa 10:00 - 12:30 JIONI KILA SIKU. Mtumishi wa MUNGU Rev. Dr. Christian Kiwia YUPO KUKUHUDUMIA. KARIBU SANAAA NA MUNGU AKUBARIKI!!!

"Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna. Maana yeye apandaye kwa mwili wa...
14/09/2015

"Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna. Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele."
WAGALATIA 6:7, 8.

THE SPIRIT OF GOD CREATES; HE RENEWS US."When You send forth  , they are  , and You renew the face of the ground." Psalm...
14/06/2015

THE SPIRIT OF GOD CREATES; HE RENEWS US.
"When You send forth , they are , and You renew the face of the ground."
Psalm 104:30

ROHO MTAKATIFU HUUMBA; HUTUUISHA.
"Waipeleka , , Nawe waufanya upya uso wa nchi."
Zaburi 104:30

Tumekuwa na wakati wa Baraka katika ibada ya leo hapa Jerusalem Spiritual Centre
31/05/2015

Tumekuwa na wakati wa Baraka katika ibada ya leo hapa Jerusalem Spiritual Centre

"Now to him who is able to do immeasurably more than all we ask or imagine, according to his   that is at work within us...
17/05/2015

"Now to him who is able to do immeasurably more than all we ask or imagine, according to his that is at work within us."
Ephesians 3:20 NIV

“Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadri ya itendayo kazi ndani yetu.”
Waefeso 3:20

Address

Near TRA Building, Opposite Kirima Lodge
Singida
255

Opening Hours

Tuesday 08:00 - 13:00
14:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 13:00
14:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 13:00
14:00 - 17:00
Friday 08:00 - 13:00
14:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 13:30

Telephone

+255767556811

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jerusalem Spiritual Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Jerusalem Spiritual Centre:

Share