ECG The Jesus Nation - Singida Branch

ECG The Jesus Nation - Singida Branch This is a religious platform where we meet to share heavenly matters. We, Sons and Daughters of Major One, Prophet Shepherd Bushiri, dwells here.

JESUS CHRIST IS OUR MASTER, BOSS AND OUR ONLY HOPE

Welcome One, welcome All.

Congratulations to Our Newly Appointed Leaders! Your dedication and service have earned this recognition. Best wishes as...
18/05/2026

Congratulations to Our Newly Appointed Leaders!

Your dedication and service have earned this recognition. Best wishes as you begin this new chapter

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri

Mbingu zina kutambuaje wewe?. Wayahudi  walimtambua Yesu Kristo k**a >Mwana wa Mariamu,>Mwana wa Yusufu,>Mwana  wa Daudi...
15/05/2026

Mbingu zina kutambuaje wewe?.

Wayahudi walimtambua Yesu Kristo k**a >Mwana wa Mariamu,
>Mwana wa Yusufu,
>Mwana wa Daudi
Kwasababu alizaliwa k**a mwanadamu.
Mathayo 13 :55

Yesu Kristo alipozaliwa mara ya pili kwa njia ya Ubatizo, Mbingu zilimtambua k**a Mwana wa Mungu.
> Mathayo 3 :16 -17.

> Huwezi kupata majibu ya Maombi yako k**a utamtazama Yesu Kristo k**a mwana wa Mariamu na Yusufu.
Usikose Ibada hii siku ya Jumapili tarehe 17/5/2026, Hapa ECG SINGIDA.

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania
Pst Pius Bananga

Kipekee nakukaribisha mpendwa jumapili hii katika Ibada ya Urejesho sehemu ya 3. Maandiko yanasema katika Yoeli 2:25-26"...
09/05/2026

Kipekee nakukaribisha mpendwa jumapili hii katika Ibada ya Urejesho sehemu ya 3. Maandiko yanasema katika Yoeli 2:25-26
"Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.
26 Nanyi mtakula chakula tele na kushiba, na kulihimidi jina la Bwana, Mungu wenu, aliyewatendea mambo ya ajabu; na watu wangu hawatatahayari kamwe."

Usipange kukosa ibada hii!!!

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania
Pst Pius Bananga

Sunday Service/RESTORATION SERVICE PART TWOProphet Shepherd Bushiri Prophetess Mary Bushiri ECG The Jesus Nation Church ...
03/05/2026

Sunday Service/RESTORATION SERVICE PART TWO

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania
Pst Pius Bananga

Sunday Service Highlights/RESTORATION Yoeli 2:25 "Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madum...
26/04/2026

Sunday Service Highlights/RESTORATION
Yoeli 2:25 "Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu."

Mungu akubariki sana kwa kuabudu pamoja nasi siku ya Leo. Endelea kuungana nasi katika ibada zetu tuweze kuabudu, kuomba, kusikiliza neno la Mungu na maombezi hapa ECG SINGIDA, nyuma ya Sheli ya Nasco Mwenge kila Jumanne, Alhamis na Jumapili.

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania
Pst Pius Bananga

Tumekuwa na Ibada njema siku ya leo, Mungu ametuhudumia kipekee sana. Karibu tuabudu pamoja katika ibada zetu hapa ECG S...
19/04/2026

Tumekuwa na Ibada njema siku ya leo, Mungu ametuhudumia kipekee sana.
Karibu tuabudu pamoja katika ibada zetu hapa ECG SINGIDA, nyuma ya Sheli ya Nassco Mwenge.

Tumekuwa na ibada njema na Jumapili njema iliyojawa UPENDO WA MUNGU.Asante kwa kuabudu pamoja nasi na endelea kuabudu na...
12/04/2026

Tumekuwa na ibada njema na Jumapili njema iliyojawa UPENDO WA MUNGU.

Asante kwa kuabudu pamoja nasi na endelea kuabudu nasi katika ibada zetu.
Mungu akubariki.

Karibu sana Jumapili hii tuabudu pamoja katika ibada hii ya UPENDO WA MUNGU.Usikose!!!Prophet Shepherd Bushiri Prophetes...
10/04/2026

Karibu sana Jumapili hii tuabudu pamoja katika ibada hii ya UPENDO WA MUNGU.

Usikose!!!
Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania
Pst Pius Bananga

07/04/2026
Ni Jumapili hii Mtu wa Mungu, Ninakukaribisha wewe na Familia yako katika ibada hii ya Ushindi. Ikiwa tunasherehekea kuf...
03/04/2026

Ni Jumapili hii Mtu wa Mungu, Ninakukaribisha wewe na Familia yako katika ibada hii ya Ushindi.

Ikiwa tunasherehekea kufa na kufufuka kwake BWANA YESU KRISTO, alitupa mamlaka ya ushindi kwa Damu yake ya pekee.
Ufunuo 12:11 "Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao;"
Karibu sana tuabudu pamoja.

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania
Pst Pius Bananga

Kwa kuwa katika utimilifu wake sisi sote tulipokea, na neema juu ya neema.                        > Yohana 1:16Kila aliy...
28/03/2026

Kwa kuwa katika utimilifu wake sisi sote tulipokea, na neema juu ya neema.
> Yohana 1:16
Kila aliyempokea Yesu Kristo kuwa BWANA na MOKOZI wa Maisha yake alipokea Neema juu ya Neema.
Japokuwa Umepokea Neema lakini ipo Neema ya Kutofautishwa na Wengine.

Karibu sana Jumapili hii tuabudu pamoja,
Na Mungu atakutofautisha na Wengine.

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania
Pst Pius Bananga

Address

Minga
Singida
4002

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ECG The Jesus Nation - Singida Branch posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to ECG The Jesus Nation - Singida Branch:

Share