Fpct Yesu Nuru Ya Kweli Kititimo Sgd

Fpct Yesu Nuru Ya Kweli Kititimo Sgd Njooni ninyi nyote mliolemewa na mizigo nami nitawapumnzisha. https://maps.app.goo.gl/GJnGqbFWgMp4EoQq6
(1)

Yoh 8:12
Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.

19/08/2026
Shalom watumishi wa Mungu Anza Siku Yako Kwa kusoma Biblia Kila siku utaongeza maarifa Zaidi ubarikiwe
19/08/2026

Shalom watumishi wa Mungu Anza Siku Yako Kwa kusoma Biblia Kila siku utaongeza maarifa Zaidi ubarikiwe

BAADA YA MIAKA 9 YA KUSUBIRI! 😭🙏Muimbaji wa Nyimbo za Injili Aniset Butati na mkewe Anna, baada ya miaka tisa ya ndoa bi...
18/08/2026

BAADA YA MIAKA 9 YA KUSUBIRI! 😭🙏

Muimbaji wa Nyimbo za Injili Aniset Butati na mkewe Anna, baada ya miaka tisa ya ndoa bila mtoto, hatimaye wamejaliwa mtoto wa kiume! Jumapili Agosti 16, walirudi madhabahuni kumshukuru Mungu kwa kile walichokiomba kwa muda mrefu. ❤️🙏

Safari yao imeibua swali kubwa: Je, unaweza kusubiri miaka 9 bila kukata tamaa? Wengine wanasema huu ni ushuhuda wa imani, wengine wanaona ni somo la uvumilivu katika ndoa.

Wewe ungekuwa katika nafasi yao, ungeendelea kusubiri au ungechoka? 👇
Weka Comment yako hapa.

Shalom watumishi wa Mungu endelelea kutenga muda Wako wa kutosha wa kusoma Biblia Kila siku ubarikiwe
18/08/2026

Shalom watumishi wa Mungu endelelea kutenga muda Wako wa kutosha wa kusoma Biblia Kila siku ubarikiwe

Shalom watumishi wa Mungu Anza Siku Yako Kwa kusoma Biblia Kila siku utaongeza maarifa Zaidi ubarikiwe nawatakia jumatat...
17/08/2026

Shalom watumishi wa Mungu Anza Siku Yako Kwa kusoma Biblia Kila siku utaongeza maarifa Zaidi ubarikiwe nawatakia jumatatu njema Yenye baraka watumishi wa Mungu

Shalom watumishi wa Mungu endelelea kutenga muda Wako vizuri wa kutosha wa kusoma Biblia Kila siku utaongeza maarifa Zai...
15/08/2026

Shalom watumishi wa Mungu endelelea kutenga muda Wako vizuri wa kutosha wa kusoma Biblia Kila siku utaongeza maarifa Zaidi ubarikiwe

Address

Singida

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fpct Yesu Nuru Ya Kweli Kititimo Sgd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Fpct Yesu Nuru Ya Kweli Kititimo Sgd:

Shortcuts

Share