Fredrick Kalinga

Fredrick Kalinga SON OF PROPHET ELISHA MULIRI

LA MUNGU UNABII MAOMBI NA MAOMBEZI

22/08/2026
Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwang...
22/08/2026

Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

Jitieni nira yangu, mjifunze
kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.

Usipo kuwa jasir Kuna watu Huwezi kuambata nao   kuwa jasir ondoa uoga piga hatua songa mbele,Kumbuka Kuna watu wanangoj...
17/08/2026

Usipo kuwa jasir Kuna watu Huwezi kuambata nao kuwa jasir ondoa uoga piga hatua songa mbele,

Kumbuka Kuna watu wanangoja hatua yako ili na wao wasogee mbele

KARIBU KWENYE IBADA YA NENO LA MUNGU MAOMBI NA MAOMBEZI HAPA MADHABAHAU YA UDHIHIRISHO UNYANKINDI SINGIDA MJINI.MUDA KUA...
15/08/2026

KARIBU KWENYE IBADA YA NENO LA MUNGU MAOMBI NA MAOMBEZI HAPA MADHABAHAU YA UDHIHIRISHO UNYANKINDI SINGIDA MJINI.
MUDA KUANZIA SAA 2:00 ASUBUHI

Mungu akiwa upande wetu tutashinda, yeye atawaponda maadui zetu.
06/08/2026

Mungu akiwa upande wetu tutashinda, yeye atawaponda maadui zetu.

Address

Unyankindi
Singida

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fredrick Kalinga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category