Seka yetu LTD

Seka yetu LTD Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Seka yetu LTD, Catholic Church, BOX 707, Shinyanga.

29/04/2020

Mtakapo ona watu wanaingia makundimakundi kwenye dini ya mwenyezi Mungu murudieni mola wenu hiyo ndio dini ya kweli. Yani kwa njia ya ubatizo

13/05/2019
10/11/2017

UKIMWi , UKIMWI , Kwa nini leo hii ni UKIMWI ndugu zangu , ni kwasababu kila baada ya dakika kadhaa tunapoteza ndugu jamaa na marafik na wengine wanapoteza wazazi pamoja na watoto wao kwa ajiri ya janga ili la UKIMWI .
UKIMWI umesababisha kuwepo kwa watoto wa mitaani pamoja ongezeko la watoto yatima kila kunapo kucha .
UKIMWI umekuwa tishio kubwa sana dunian kia unapoenda UKIMWI makanisani UKIMWI , mashuleni UKIMWI ,U UKIMWI umekuwa tishio watu wa Mungu ,niungonjwa ambao hauna tiba watu weupe wameturetea dawa za kurefusha maisha ili tuzidi kuuwana ndugu zangu Afrika tumefikwa na kilio kisicho kuwa na mwisho wake kwa sa kwa ndugu zako na rafiki zako pia

CS-Moscow, tawi la Kolonia Santita lililotawala huko Urusi na katika nchi za Ulaya ya Mashariki k**a vile Belarusi, Mold...
01/11/2017

CS-Moscow, tawi la Kolonia Santita lililotawala huko Urusi na katika nchi za Ulaya ya Mashariki k**a vile Belarusi, Moldova na Ukraini; na katika baadhi ya nchi za Ulaya ya Kusini k**a vile Masedonia, Montenegro, Uturuki na Ugiriki, liliongozwa na mwanajeshi wa zamani wa “Red Army” Dmitri Olegushka. Aidha, Olegushka alikuwa mwanachama hai wa zamani wa genge hatari zaidi la kimafia duniani liitwalo Solntsevskaya Bratva.

Dmitri Olegushka alikuwa na umri wa miaka 42 mwaka 1992, wakati Operation DC ikitekelezwa duniani kote, na alipigana dhidi ya Tume ya Dunia mwanzo hadi mwisho akiwa nchini Urusi. Olegushka hakuwa na umbo kubwa. Alikuwa mfupi. Alikuwa na nywele fupi nyeusi, uso mpana usiokuwa na ndevu na kitambi kidogo kilichomkaa vizuri. Alikuwa na mke na watoto wawili; na alishirikiana na Arina Gaidar, Tesak Anatoly-Chaika, Nikolay Narochnitskaya na Nakita Sergei Kerensky, kuendesha CS-Moscow. Nakita maana yake ni mtu aliyeshindikana kutekwa, lakini alitekwa nyara.

Mke wa Olegushka aliitwa Paviella. Paviella alishirikiana na mumewe kuendesha CS-Moscow, na msururu wa biashara nyingi za kimafia; wakishirikiana na magenge ya kimafia k**a vile Solntsevskaya Bratva, Yamaguchi Gumi, Camorra, ‘Ndrangheta, na Sinaloa ya Amerika ya Kaskazini.

31/10/2017

Habarkni za jion ndugu zanguni.
Siku ya leo kuna jambo naomba
tujifunze pamoja. Jambo lenyewe
ni ili ndugu zanguni hususani vijana
wenzangu ambao tuna subili serikali
ituajili au itupatie ajira nawaombeni
tuchukueni mahembe twende mashambani tukalime, maana mwenyezi Mungu alisha tupa ardhi yenye rutuba na nguvu tunazo. Kwa hiyo wakati huu ambao serikari ina angaikia kuleta napinduzi ya viwanda na sisi tusi baki nyuma bali tujipange kureta mapinduzi ya kilimo cha kibiashara ili wakati viwanda vinapo kanilika vikute sisi tuna mari gafi tayari . Maana ukiangalia nchi zote zilizo endelea dunia zimefika hapo zilipo kutokana na mapinduzi ya kilimo na viwanda .
Ujumbe kwa asasi za kifedha , watu binafsi , mashirika ya kimataifa na serikali zituunge mkono sisi vijana ambao tunaitaji kuingia mashambani kulima lakini atuna mitaji ili .

28/07/2017

Ninapowafikiria vijana weusi, ninatamani pia kusema kwamba mengi kati ya matatizo yetu ya kimbari yanayotulemea yatakwisha k**a sisi tulio miongoni mwa jamii ndogondogo tutasimana kwa miguu yetu. na kukataa kumtegemea mtu ye yote kutuokoa kutoka katika ahali yetu. Jamii tunayoishi inatafuta mtu bora kuriko weng wengine atakae simama kwa ajiri ya kubadiri fikra za jamii ninayo tuzunguka juu ya maisha duni tunayoishi nawaombeni muniunge mkono si kwa kunipa pesa tu bari atakazi itakayo nisaidia kuendesha maisha yangu nawatakieni jioni njema

26/07/2017

Habarini za jioni ndugu zangu . Naombeni ushauri wenu maana sijui nifanye nini kwa sasa . Tangu nilipo simamishwa masomo nimepoteza mwelekeo na sijui cha kufanya maana ndugu zangu wamenikimbia pindi. tu nilipo fukuzwa chuo nisaidien

06/03/2015

Ndugu zangu mimi kuna kitu kina nisumbua sana, mwaka 2010 nilipata mchumba, tukaendelea vizuri sana mwisho wa siku huyu dada alibadirika sana ,wakati mwingine hapatikani kwenye simu,siku ambayo mimi sikuwa hewani yeye akanitafuta na akunipata ,siku nilipo mbahatisha ndipo ikiwa siku ya kutengana ,sas nifanyeje?

03/03/2015

Tuta umia sana juu ya mambo yanayo tupata katika sayari hii dunia,ndugu zanguni na penda kuwambia kwamba hakuna njia nyingine ambayo inaweza kutuepusha na mambo haya yanayo zidi kutupata kila siku,tunacho takiwa kufanya tumutegemeeni Mungu tu ndie mwisho wa mambo yote

28/02/2015

Tukaeni chini tujiulize kwanza,haya mambo yanayo tokea katika uso wa dunia ,yalikuwepo tokea mwanzo?.Jibu ni hapana,bali yametokea baada ya dhambi kuingia duniani,je mwanadamu aliumbwa na nguo?, jibu ni hapana,bali mwanadamu alianza kuvaa nguo baada ya kuingia kwa dhambini,katikabusitani ya edeni.Tufanye nini sasa kwa haya yanayo tendeka katika uso wa dunia?,tumwombe Mungu tu kwake yote yanawezekana, hakuna njia nyingine yakupita.

Address

BOX 707
Shinyanga

Telephone

+255659140888

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Seka yetu LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share