KKKT Ebenezer Shinyanga-Cathedral

KKKT Ebenezer Shinyanga-Cathedral ...na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Mt. 16:18.

💒KKKT EBENEZER KANISA KUU SHINYANGA 🔴IBADA YA MORNING GLORY 10/08/2026BOFYA LINK HAPA👇🏼
10/08/2026

💒KKKT EBENEZER KANISA KUU SHINYANGA

🔴IBADA YA MORNING GLORY 10/08/2026

BOFYA LINK HAPA👇🏼

IBADA YA MORNING GLORY || KKKT DKMZV USHARIKA WA EBENEZER KANISA K...

💒KKKT EBENEZER KANISA KUU SHINYANGA 🔴 IBADA YA KWANZA -09/08/2026NENO KUU: HAKI HULETA AMANI NA USTAWI*Kumbuka kusubscri...
09/08/2026

💒KKKT EBENEZER KANISA KUU SHINYANGA

🔴 IBADA YA KWANZA -09/08/2026
NENO KUU: HAKI HULETA AMANI NA USTAWI

*Kumbuka kusubscribe, Like, na Comment na kushare*

Imetolewa Na
Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) KKKT -DKMZV Usharika wa EBENEZER KANISA KUU

https://www.youtube.com/live/h2P-IQhVVA8?si=M7VZtyZz7-q0cWRf

IBADA YA KWANZA|| IBADA YA JUMAPILI || KKKT DKMZV USHARIKA WA EBENE...

24/06/2026

KARIBU SANA

Matukio katika PichaIbada ya Jumapili, siku ya Bwana ya Pili baada ya PentekosteEbenezer Kanisa Kuu-Shinyanga.Jumapili y...
08/06/2026

Matukio katika Picha
Ibada ya Jumapili, siku ya Bwana ya Pili baada ya Pentekoste
Ebenezer Kanisa Kuu-Shinyanga.

Jumapili ya Tarehe 7 Juni 2026

MKUTANO MKUU KKKT DKMZV
06/06/2026

MKUTANO MKUU KKKT DKMZV

MKUTANO MKUU WA SABA (7) WA DAYOSISI KUSINI MASHARIKI YA ZIWA VICTORIA-BUSHUSHU SHINYANGA.
05/06/2026

MKUTANO MKUU WA SABA (7) WA DAYOSISI KUSINI MASHARIKI YA ZIWA VICTORIA-BUSHUSHU SHINYANGA.

02/06/2026

KWAYA YA UMOJA DKMZV

KAA TAYARI KUPOKEA ALBUM HII YA NYIMBO 16. (SIMIYU, SHINYANGA NA KAHAMA)

28/05/2026

KKKT MARATHON 2026
20 JUNI 2026
Arusha Tanzania

MAPOKEZI YA KWAYA IJUMAA TAR. 22. MEI 2026Picha za mapokezi ya ndugu zetu Kwaya ya Uinjilisti KIJITONYAMA toka KKKT DMP ...
24/05/2026

MAPOKEZI YA KWAYA IJUMAA TAR. 22. MEI 2026

Picha za mapokezi ya ndugu zetu Kwaya ya Uinjilisti KIJITONYAMA toka KKKT DMP wakiwa safarini kuelekea Karagwe.

Tumebarikiwa kuwapokea.
Karibuni tena.

Picha kwa hisani ya KIJITO KWAYA

Kijitonyama Lutheran Church
Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama

IBADA YA JUMAPILI KKKT DKMZV USHARIKA WA EBENEZER KANISA KUU 10/05/2026Siku ya Bwana ya 5 baada ya Pasaka.(Rogate -Omben...
10/05/2026

IBADA YA JUMAPILI KKKT DKMZV USHARIKA WA EBENEZER KANISA KUU 10/05/2026

Siku ya Bwana ya 5 baada ya Pasaka.(Rogate -Ombeni)
NENO KUU: IMETUPASA KUMWOMBA MUNGU SIKU ZOTE.

MASOMO:
ZABURI:28 :6-9
Neh. 1:1-11
Mt. 6:7-13

Address

Mitimirefu Mjini
Shinyanga
37101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT Ebenezer Shinyanga-Cathedral posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share