07/06/2026
Matukio katika Picha
Juni 7, 2026 : Ibada ya Siku ya Bwana ya kwanza baada ya Utatu imefanyika Kanisa Kuu Ebenezer.
Katika ibada hiyo, Msaidizi wa Askofu Mteule, Mchungaji Aaron Nchambi, alitambulishwa rasmi kwa Wakristo wa Dayosisi baada ya kuchaguliwa kuwa msaidizi wa Askofu mteule katika Mkutano Mkuu wa Dayosis Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria uliofanyika tar 5-6 Juni 2026.