Njoro S.D.A Church

Njoro S.D.A Church Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Njoro S.D.A Church, Religious organisation, Njoro, Shanti Town.

Makambi Yetu Yanakaribia Endelea Kutoa SADAKA Yako ya Kambi na tuendelee Kuombea Maandalizi Yote Ya kambi 🙏🏾Mungu Awabar...
11/07/2026

Makambi Yetu Yanakaribia Endelea Kutoa SADAKA Yako ya Kambi na tuendelee Kuombea Maandalizi Yote Ya kambi 🙏🏾
Mungu Awabariki Sana
Tunawatakia Sabato Njema

19/06/2026




18/06/2026


KARIBU KATIKA SABATO YA WAGENI Kanisa la Waadventista Wasabato Njoro kupitia Idara ya Shule ya Sabato linakualika kushir...
18/06/2026

KARIBU KATIKA SABATO YA WAGENI

Kanisa la Waadventista Wasabato Njoro kupitia Idara ya Shule ya Sabato linakualika kushiriki katika Sabato ya Wageni yenye lengo la kumtukuza Mungu, kujifunza Neno Lake na kujenga ushirika wa Kikristo.
đź“… Tarehe: 20 Julai 2026
⏰ Muda: Saa 2:00 Asubuhi – 11:00 Jioni
📍 Mahali: Njoro SDA Church
🎤 Mnenaji: Mch. Ledimani M***a
Njoo pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zako upokee baraka za kiroho na ujumbe wa matumaini kutoka kwa Mungu.
"Nyote Mnakaribishwa!"

05/06/2026



Usabatoni Leo🙏Imekuwa siku ya Baraka.🤗
30/05/2026

Usabatoni Leo🙏
Imekuwa siku ya Baraka.🤗

 “Msijisumbue kwa jambo lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane...
27/05/2026



“Msijisumbue kwa jambo lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.”
— Biblia Wafilipi 4:6

Karibu katika Juma Tano ya maombi. Haijalishi unapitia changamoto gani, Mungu bado anasikia sauti ya mwenye kuomba kwa imani. Leo tusikate tamaa, maana kila ombi linalotolewa kwa moyo wa kweli linafungua njia, linaponya moyo na kuleta ushindi. Endelea kumuamini Mungu, muda wake ni mkamilifu. 🙏

Address

Njoro
Shanti Town

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Njoro S.D.A Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share