Ukombozi Ministries sengerema

Ukombozi Ministries sengerema Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ukombozi Ministries sengerema, Church of God, Nyatukara Sengerema, Sengerema.

IBADA YA KINABII PASTOR IMANI VEDASTOAkiwahudumia mamia ya watu kwenye ibada kanisa la Ukombozi sengerema
27/04/2026

IBADA YA KINABII
PASTOR IMANI VEDASTO

Akiwahudumia mamia ya watu kwenye ibada kanisa la Ukombozi sengerema

Mama huyu anapenda kumshukuru Mungu kwa uponyaji aliotendea, alikuja mahali hapa akiwa na changamoto ya ugonjwa wa Figo ...
27/04/2026

Mama huyu anapenda kumshukuru Mungu kwa uponyaji aliotendea,
alikuja mahali hapa akiwa na changamoto ya ugonjwa wa Figo na bandama kwa muda wa miaka mitatu

lakini baada ya kuja kanisani na kuombewa na mtumishi wa Mungu ameweza kupona siku hiyo hiyo, jina la Bwana libarikiwe.

IBADA YA KINABIIPASTOR STELLA IMANIMungu ametuonekania katika ibada hit
20/04/2026

IBADA YA KINABII
PASTOR STELLA IMANI

Mungu ametuonekania katika ibada hit

Mama huyu anapenda kumshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyomtendea kupitia maji na mafuta ya Upako , ambapo alikuwa na c...
20/04/2026

Mama huyu anapenda kumshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyomtendea kupitia maji na mafuta ya Upako , ambapo alikuwa na changamoto ya mtoto wake kutoona kwa muda wa wiki mbili

baada ya kumnywesha mafuta ya upako Mtoto wake huyo akapokea uponyaji

IBADA YA KINABII PASTOR STELLA IMANI Hakika Ibada hii ilifunikwa na nguvu za Mungu
13/04/2026

IBADA YA KINABII
PASTOR STELLA IMANI

Hakika Ibada hii ilifunikwa na nguvu za Mungu

Kwaya kutoka kanisa la Ukombozi Geita wakimsifu Mungu
13/04/2026

Kwaya kutoka kanisa la Ukombozi Geita wakimsifu Mungu

Alikuwa anahali ngumu yakiuchumi baada ya maombi ya mtumishi wa Mungu pastor Stella Imani sasa anamiliki gari
13/04/2026

Alikuwa anahali ngumu yakiuchumi baada ya maombi ya mtumishi wa Mungu pastor Stella Imani sasa anamiliki gari

  Stella Imani Katika ibada ya PASAKA Mungu ametuonekania kwa namna ya kipekee
05/04/2026

Stella Imani
Katika ibada ya PASAKA Mungu ametuonekania kwa namna ya kipekee

IBADA YA PASAKA
05/04/2026

IBADA YA PASAKA

Dada huyu anamshukuru Mungu baada ya kupata shida wakati wakujifungua na mtoto wake kuumwa sana baada ya kuzaliwa lakini...
05/04/2026

Dada huyu anamshukuru Mungu baada ya kupata shida wakati wakujifungua na mtoto wake kuumwa sana baada ya kuzaliwa lakini baada ya maombi mtoto na mama sasa niwazima kabisa

Dada huyu anamshukuru Mungu kwa kumponya alikuja katika Madhabuhu ya Ukombozi akiwa anawashwa mwili mzima kuanzia kwenye...
05/04/2026

Dada huyu anamshukuru Mungu kwa kumponya alikuja katika Madhabuhu ya Ukombozi akiwa anawashwa mwili mzima kuanzia kwenye unyayo mpaka kichwani lakini baada ya maombi Hali hiyo imetoweka na nimzima Ile Hali ya kuwashwa imetoweka kabisa

  Stella Imani IBADA KUBWA YA IJUMAA YA  PASAKA NA KUOSHWA MIGUU
03/04/2026

Stella Imani

IBADA KUBWA YA IJUMAA YA PASAKA NA KUOSHWA MIGUU

Address

Nyatukara Sengerema
Sengerema

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ukombozi Ministries sengerema posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Ukombozi Ministries sengerema:

Share

Category