12/09/2022
Tunamshukuru Mungu kwa Mkutano wa baba yetu Askofu mkuu wa EAGT DR.BROWN MWAKIPESILE alioanza Jumanne tar 06/09/2022-jana 11/09/2022.Tumemuona Mungu akiokoa na kuponya waliokua wamefungwa na shetani.Asante kwa Serikali yetu ya wilaya kwa kutupa kibali cha kuendesha mkutano.Asante kwa watu wote waliofanikisha mkutano huu Mungu awabariki sana.Semina ya Mkutano inaanza leo(Jumatatu-Jumapili) katika viwanja vyetu vya kanisa Kuanzia saa 3:30 alasiri-6:00 jioni.