North-East Tanzania Conference

North-East Tanzania Conference As a Christian church, Seventh-day Adventists are a faith community rooted in the beliefs described

10/09/2026

TANGA

Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Union, Konferensi ya Kaskazini mwa Tanzania Mch. David Mpwani ameweka Wa...
09/09/2026

Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Union, Konferensi ya Kaskazini mwa Tanzania Mch. David Mpwani ameweka Wakfu nyumba ýa Mchungaji wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Mtaa wa Njoro Mch. Jeremiah Muhiri, Jijini Tanga, leo Septemba 9,
2026.

Hafla hiyo iliyoambatana na kumuwekea mtoto wa Mchungaji huyo Mikono ilihudhuriwa na Wenyeviti wa Konferensi mbalimbali ambao wako mkoani Tanga katika Mikutano ya "MAMBO YOTE MAPYA: TUMAINI LINAANZIA HAPA"

Uzinduzi wa OneVoice27 kwa Konferensi ya Kaskazini Mashariki mwa Tanzania umefanyika kwenye Makanisa yote, ikiwemo Kanis...
05/09/2026

Uzinduzi wa OneVoice27 kwa Konferensi ya Kaskazini Mashariki mwa Tanzania umefanyika kwenye Makanisa yote, ikiwemo Kanisa la Waadventista wa Sabato Kana Mkoani Tanga


04/09/2026



MAHUBIRI YA NENO LA MUNGU JIJINI TANGAMAMBO YOTE MAPYA TUMAINI LINAANZIA HAPASEPTEMBA 6 -26, 2026VIWANJA VYA UHURU PARK ...
31/08/2026

MAHUBIRI YA NENO LA MUNGU JIJINI TANGA
MAMBO YOTE MAPYA TUMAINI LINAANZIA HAPA
SEPTEMBA 6 -26, 2026
VIWANJA VYA UHURU PARK - TANGA

28/08/2026

"Elekeza Tumaini lako kwa Yesu" - Mch. Ally Mwaihojo

28/08/2026

"Watoto watabebwa na Malaika na kupelekwa kwenye Mti wa Uzima"

27/08/2026

26/08/2026

Septemba 5, 2026 ni Uzinduzi wa SautiMoja27 katika makanisa ya Waadventista wa Sabato Ulimwenguni.

Address

P. O. Box 315
Same

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 13:00

Telephone

+255272758156

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when North-East Tanzania Conference posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to North-East Tanzania Conference:

Shortcuts

Share