Galilaya Gospel Ministry

Galilaya Gospel Ministry YouTube :https://www.youtube.com/
Instagram: Gospel Ministry

IMANI YETU IMEKITA MIZIZI KATIKA KUFA NA KUFUFUKA KWA BWANA WETU "YESU KRISTO" MWANA WA MUNGU ALIYE HAI. Yohana 3:16-21
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye. Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini am

ekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu. Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu. Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa. Bali yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru, ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika Mungu.

We glorify the Lord for this day
31/03/2026

We glorify the Lord for this day

Sunday Services With  Kanakamfumu Dodoma Tanzania.
31/03/2026

Sunday Services With Kanakamfumu
Dodoma Tanzania.

Prophetic Word: You are going to be a happy person in all the days of your life.
31/03/2026

Prophetic Word: You are going to be a happy person in all the days of your life.

IBADA YA KITUME NDANI YA MADHABAHU YA DODOMA CHRISTIAN FELLOWSHIP CHURCH TANZANIA ( DCFC ) With Mtume Fortunatus Kanakam...
31/03/2026

IBADA YA KITUME NDANI YA MADHABAHU YA DODOMA CHRISTIAN FELLOWSHIP CHURCH TANZANIA ( DCFC ) With Mtume Fortunatus Kanakamfumu

IBADA YA JUMAPILI GALILAYA GOSPEL MINISTRY & DODODOMA CHRISTIAN FELLOWSHIP CHURCH TANZANIA.
29/03/2026

IBADA YA JUMAPILI GALILAYA GOSPEL MINISTRY & DODODOMA CHRISTIAN FELLOWSHIP CHURCH TANZANIA.

Karibu tuabudu pamoja kanisani Dcfctz enjoylife lililopo Mkalama Dodoma.

Zaburi 121 :1-2 " Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika Bwana, Aliye...
12/03/2026

Zaburi 121 :1-2 " Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.

07/03/2026

Sunday Service | 10:00Am | Galilaya Gospel Ministry Tz | ... Don't Miss this Sunday.

For More info Call; 0625515720, +255653484298.

03/03/2026

Amani ya Kristo Ikiwa ndani ya Mtu hata K**a Mtu huyo Haioni kesho yake atakua Na Amani Muda wote,

Inasema "Furahini siku zote; Ombeni bila kukoma; Shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.a
1 Wathesalonike 5;16-18
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯

Servant's Peter Fortunatus

24/02/2026

KUJITENGA NA UOVU NI KUTIMIZA MAPENZI YA MUNGU. Servant's Peter Fortunatus

“Kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu; Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.”
— Zaburi 40:8 (Biblia Takatifu)

Address

S. L. P 62
Rujewa
53601

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Galilaya Gospel Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Galilaya Gospel Ministry:

Share