03/12/2025
📢 TANGAZO MUHIMU – NAFASI ZA KIDATO CHA KWANZA 2026🎓
St. Agnes Chipole Secondary School ni Shule ya Wasichana ya Bweni iliyopo Songea – Ruvuma, inayomilikiwa na Masista wa Mtakatifu Agnes Chipole, inatangaza nafasi za kujiunga na Kidato cha Kwanza kwa mwaka wa masomo 2026.
Tunatoa elimu bora inayojenga nidhamu, maarifa, maadili na imani kwa mtoto wa k**e ili awe kiongozi bora wa familia,jamii na Taifa.
📍 Eneo: Chipole – Songea, Ruvuma
🏫 Aina ya Shule: Wasichana, Bweni
📆 Mwaka wa Masomo: 2026
Kwa mawasiliano na maombi ya nafasi:
📞 Simu: 0653 503 379
📱 WhatsApp: 0676 296 808
🛑 Nafasi ni chache — Wahi sasa!
✨ Karibu St. Agnes Chipole – Elimu Bora kwa Maisha Bora! 🤝
Shule ya Wasichana ya Bweni – Chipole, Songea.
Tunatoa elimu bora yenye nidhamu na maadili kwa mtoto wa k**e.
🎓 Nafasi za Kidato cha Kwanza 2026 zinapatikana.
📞 0653 503 379 | WhatsApp 0676 296 808