Ufufuo Ministry For All Nation

Ufufuo Ministry For All Nation Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ufufuo Ministry For All Nation, Christian church, Mwanza, Pansiansi.

Makosa nisehemu ya maisha kwakila binadamuKwahiyo usijiukumu kwamakosa ulio yafanya Bali chukulia makosa ulio ya fanya k...
08/05/2023

Makosa nisehemu ya maisha kwakila binadamu
Kwahiyo usijiukumu kwamakosa ulio yafanya Bali chukulia makosa ulio ya fanya kuwak**a darasa lakujifunza umakini wakuto kurudia makosa ikakugarimu.

12/09/2021

Tafadhali mtu wa Mungu naomba usikilize ujumbe huu kwa hakika utabarikiwa sana.
Karibu na Mungu akubariki.

21/08/2021
Bwana Yesu asifiwe Wana wa Mungu.Pastor  SHEMI ALEX  ...wa kanisa la UFUFUO MINISTRY FOR ALL NATIONHabari njema habari n...
29/04/2021

Bwana Yesu asifiwe Wana wa Mungu.
Pastor SHEMI ALEX ...wa kanisa la UFUFUO MINISTRY FOR ALL NATION
Habari njema habari njema🎢🎢🎢
✳️ Habari njema nikwamba Kila siku ya juma tatu tutakuwa tunatowa mafundisho ya neno la Mungu....so..
Please mwana wa Mungu kaha mkao wakula chakula Cha huzima..
Masomo yetu yataanza wiki ijayo.
πŸ”„ SOMO LA 1.........JINSI YA KUPATA UTAJIRI KIUNGU.🎢🎢
Utangulizi....tunapo sema JINSI yakupa UTAJIRI ...kiungu inamaanisha ...sikila utajiri Ni Mungu.
Kunaina 2
❇️ Utajiri kutoka kwa Mungu
✳️Utajiri kutoka kwa shetani
Kwaleo niombe nikuache na swali...
Hili.
Kwa Nini maskini ni wengi na....
Matajiri Ni wachache????πŸ™‹πŸ™‹πŸ™‹πŸ™‹
Good night tukutane juma tatu...mbarikiwe na Bwana.πŸ™πŸ™πŸ™

Tuta msifu Mungu siku zote za maisha yetu....maana sifa ndio chakula cha Mungu  ....so njoo tumsifu.....Mungu kupitia wi...
24/02/2021

Tuta msifu Mungu siku zote za maisha yetu....maana sifa ndio chakula cha Mungu ....so njoo tumsifu.....Mungu kupitia wimbo huu ..wa Yakobo ...na hutabaki ..k**a hulivyo ..mwaka huu ktk jina la Yesu...Yakobo ..alipambana na Mungu usiku kucha......hakumuacha ...Mungu..mpaka alipo ...mbariki...sasa nizamu yako...yakung'ang'ana na ...Mungu..
mpaka akubariki. ....so tumia....wimbo huu kuwa maombi..yako ya kilasiku na Mungu..
atakubariki .....ktk jina la Yesu.
Kwahiyo nakuomba chukuwa nafasi hii kuingia YouTube kupakuwa wimbo huu kwakutumia link hiyo hapo..au...handika ..excellence band Yakobo official Music video....
Naamini utafanya hivo na Mungu akubariki.

02/01/2021

2021 IS MY YEAR OF RESTORATION
NIMWAKA WANGU WAKUREJESHEWA YOTE NILIO POTEZA MWAKA 2020
KWASABABU YA CORONA
1Utarejeshewa AFYA
2Utarejeshewa NDOA
2Utarejeshewa KAZI
3Utarejeshewa BIASHARA
4Utarejeshewa MALI NA RASILIMALI
5Utarejeshewa HUDUMA YAKO KWAJINA LA YESU
AYUB 42:10
Kisha akaugeza uteka wa Ayubu hapo alipowaombea rafiki zake,
Bwana naye akampa Ayubu mara mbili kuliko hayo aliokuwa nayo kwanza
Utarejeshewa kila kitu ulichopoteza mara mbili ktkt jina la YESU
YOELI 2:25

Wakati wa Bwana ukikaribiaIshara 1 changamoto zitukuwa nyingi2 utatengwa na watu wakaribu yako  marafiki wata  kuacha  n...
14/10/2020

Wakati wa Bwana ukikaribia
Ishara
1 changamoto zitukuwa nyingi
2 utatengwa na watu wakaribu yako marafiki wata kuacha ndugu na jamaha watakukimbia
3 utajaribu kuomba msaada hutapata hatawale uliokuwa unawategemea hawata kusaidia lakini pamoja nahayo yote wewe baki njia kuu ...
Usiyumbishwe bali simama imara umngojee Mungu mpaka uone matokeo.
So ahijalishi nichangamoto gani unayo pitia leo usijali maana huu ndio wakati wako wa kuinuluwaa.

karibu
24/07/2020

karibu

Address

Mwanza
Pansiansi

Telephone

+255789631994

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ufufuo Ministry For All Nation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share