PENZI La DHATI

PENZI La DHATI karibu Kwenye Ukurasa wa Elimu na afya ya mapenzi

STAILI GANI INAKUPA Raha, em tutamanishane kidogo
03/12/2022

STAILI GANI INAKUPA Raha, em tutamanishane kidogo

24/11/2022

NAJUWA WANAWAKE HAMJUI
"Mwanaume akiishi na mwanamke siku kuanzia 21, 63 hadi 84 mwanamke huyo mbele ya macho ya mwanaume anakuwa wa kawaida sana hata k**a ana jishepu na makalio makubwa.

Zile mihemko za ndani ya mwanaume kwa huyo mwanamke zinatoweka zinabaki hisia za kawaida kabisa na hapa mwanaume anaweza lala kitanda kimoja na huyo mwanamke na asimfanye kitu.

Katika wakati huu kitu pekee kitachoendelea kumshikilia huyo mwanamke kwa mwanaume ni Tabia za mwanamke na uwezo wake katika maeneo kadhaa ikiwemo usimamizi wa fedha, uwezo mzuri wa kupika, namna mwanamke anavyomsaidia mwanaume wake kuminimize gharama za maisha.

Hapa mwanaume anaweza asikimbie, ila hadi kufika hapa mwanamke uzuri wake shape yake na madude yote aliyonayo hayana maajabu tena"

NINI MAONI YAKO.

ila kwa tafiti nilizofanya wanawake wanene ktk mapenzi niwaelewa Sana ktk mahusiano....,πŸ₯° ukimwambia bby nitakucheki bad...
11/04/2022

ila kwa tafiti nilizofanya wanawake wanene ktk mapenzi niwaelewa Sana ktk mahusiano....,πŸ₯° ukimwambia bby nitakucheki badaye anakuelewa vzr Wala hakusumbui,

pia niwakweli hawajui kucheet.akiwa nawewe niwewe tu Hana michepuko

Kuna hawa wengne hawa kwakweli unaweza Kukuta simu imepigwa missed call mia nne...🀣kwenye simu,unaweza ukakuta text mia mbili,🀣unaweza ukakuta kashakuacha zamani kisa tu hujapokea simu🀣.

kibaya zaidi hakuna hata chamaana alichotaka muongee niusumbufu tu.

wanawake wanene muwe na jumapili njema nyie wengne lolote naliwapate.🀸

22/03/2022

Hekima itakulinda.
Maarifa yatakuongoza. Busara itakutunza
Mida ya kazi sometimes inazenguaga kweli

18/03/2022

MAHUSIANO huunganishwa kwa Kuhudumiana. Mwanaume, usitegemee HESHIMA k**a HAUWAJIBIKI k**a mwanaume ndani ya Mahusiano. Mwanamke, usitegemee KUJALIWA k**a HAUWAJIBIKI k**a mwanamke. Huduma ya upande mmoja HUVUTIA Huduma na Matokeo mazuri ya upande mwingine. .
πŸ’Œ
HESHIMA na CARE huondoka AUTOMATIC pale mtu anaposhindwa kutimiza MAJUKUMU yake hata kwa UWEZO wake mdogo tu alionao. .

18/03/2022

"Nafasi kubwa katika maisha yako ni uwezo wa kutumia maneno, maneno yanafafanua maisha yako, maneno yanaeleza thamani yako, maneno yanadhihirisha mwonekano wako. Wewe ni muhimu kuliko maneno yako, tabia za maneno yako ni tabia za mwonekano wako, kuwa makini kwa maneno yako."

πŸ™‹πŸΌπŸ™‹πŸΌπŸ™‹πŸΌπŸ™‹πŸΌπŸ™‹πŸΌπŸ™‹πŸΌπŸ™‹πŸΌπŸ™‹πŸΌ

18/03/2022

*STAILI NZURI YA KUMUWEKA MWANAMKE ILI KUSISIMUA KIPELE G-**OT*

K**a unapenda kusisimua G spot na kumfikisha mwanamke kileleni basi mikao hii itakusaidia kukipata na kukisisimua haraka kipele G

*Closed missionary position au kifo cha mende:*
Mtindo huu unahitaji mwanamke kulala chali na kisha mwanamume unamwingia katikati ya miguu yake akiwa ameikunja kidogo, kisha taratibu unaingiza kidole cha shahada ukeni na kuanza kukuna.

*Doggy style au kichuma mboga:*
Style hii inahitaji mwanamke kujikunja magoti na mwanaume kuja kwa nyuma ya makalio. Mkao huu unafanya uume kuingia kiurahisi na wote kwenye uke, kupitia style hii unaweza kusisimua kipele G kwa kuingiza uume kwa spidi inayokufaa, wakati huo unabadilisha engo ya mkao.

*Cowgirl au kibodaboda:*
Style hii inakufanya uguse kipele G kwa urahisi wakati huo mnashiriki tendo la ndoa. Mwanaume analala chali na mwanamke anamkalia kwa juu na kuanza kuingiza uke k**a vile ananyonga baiskeli.

*Angalizo:*
Mwanamke anatakiwa akwenda pole pole ili kuepusha majeraha kwenye uume endapo ataukalia vibaya. Badala ya mwanamke kwenda juu na chini, ajaribu kupump kwa kwenda mbele na kurudi nyuma.

♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️

Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayekupenda na mtu mwenye tamaa na wewe. .πŸ’ŒUkiona mtu anataka kukumiliki, kukutawala, an...
16/03/2022

Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayekupenda na mtu mwenye tamaa na wewe. .
πŸ’Œ
Ukiona mtu anataka kukumiliki, kukutawala, ana wivu kupita kiasi, kila muda mchat, muongee, kila muda wako anataka auchukue yeye, anashindana na ratiba zako tena zile za muhimu, anataka attention yako yooote iwe kwake: hapo ujue uko na mtu mwenye tamaa kali (lust) nawewe. .
πŸ’Œ
Hii tamaa hainaga afya, huleta matatizo siku zote. Usipokuwa makini utapotea hapo, utaacha ratiba na mipango yoote ya muhimu, utakosa maamuzi, utakosa nafasi na muda binafsi, utashindwa kuconnect na watu wengine, nk
πŸ’Œ
Upendo wa kweli huwa unajali furaha ya mwingine, Huwa na uelewa, kuna ukuaji ndani yake, hutoa ushirikiano hitajika na zaidi ya yote, huwaweka wahusika HURU.

𝐇𝐀𝐓𝐀 πŠπ€πŒπ€ π‡π”πŒππ„ππƒπˆ πˆπ’πˆπ–π„ 𝐒𝐀𝐁𝐀𝐁𝐔 π˜π€ 𝐖𝐄𝐖𝐄 πŠπ”πŒπ’π„πŒπ€ π•πˆππ€π˜π€ πŠπ–π€ π‘π€π…πˆπŠπˆ π™π€πŠπŽ,,πŠπ”πŠπ”ππ„ππƒπ€ 𝐖𝐄𝐖𝐄 π’πˆπ˜πŽ π”ππ€π˜π€,,,,πŒπ–π„π’π‡πˆπŒπ” πŒπ–π€πŒππˆπ„ π”πŠ...
16/03/2022

𝐇𝐀𝐓𝐀 πŠπ€πŒπ€ π‡π”πŒππ„ππƒπˆ πˆπ’πˆπ–π„ 𝐒𝐀𝐁𝐀𝐁𝐔 π˜π€ 𝐖𝐄𝐖𝐄 πŠπ”πŒπ’π„πŒπ€ π•πˆππ€π˜π€ πŠπ–π€ π‘π€π…πˆπŠπˆ π™π€πŠπŽ,,πŠπ”πŠπ”ππ„ππƒπ€ 𝐖𝐄𝐖𝐄 π’πˆπ˜πŽ π”ππ€π˜π€,,,,πŒπ–π„π’π‡πˆπŒπ” πŒπ–π€πŒππˆπ„ π”πŠπ–π„π‹πˆ, 𝐍𝐀 π‹πˆππƒπ€ π“π‡π€πŒπ€ππˆ π˜π€πŠπ„ 𝐍𝐀 π‡π„π’π‡πˆπŒπ€ π˜π€πŠπ„,,,πŠπ”πŒππ”πŠπ€ πƒπ”ππˆπ€ 𝐃𝐔𝐀𝐑𝐀 π”π“π€πŒπ“π”π’πˆ π‹π„πŽ,,π‡π”π‰π”πˆ πŠπ„π’π‡πŽ πŒπ“π€πŠπ”π“π€ππ€ π–π€ππˆ

16/03/2022

K**a hauko tayari kumuacha basi usimuulize kuhusu huo mchepuko wake na wala usionyeshe k**a umejua. Kumuonyesha kwamba umejua alafu unabaki humo ndani ni kumfanya adhani haikusumbui sana. Na mara nyingi hatoacha, atatafuta tu mbinu bora za kukuficha

Tuanze kuwa na ndimi laiiiiini
09/02/2022

Tuanze kuwa na ndimi laiiiiini

Address

Nyegezi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PENZI La DHATI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share