Mabomba manne SDA Church.Nyegezi

Mabomba manne SDA Church.Nyegezi Karibuni katika kanisa la Waadiventista ilioko mtaa wa Nyegezi.

03/08/2026

Wakimtukuza mungu Kwa wimbo

Kwaya ya kanisa la waadventist wasabato mabombamanne tumepokea Kwa masikitiko vifo vya waimbaji wenzetu wa Kinyerezi Sda...
03/08/2026

Kwaya ya kanisa la waadventist wasabato mabombamanne tumepokea Kwa masikitiko vifo vya waimbaji wenzetu wa Kinyerezi Sda Church tuamini Tu IPO siku tutaonana nao Ile asubuhii njema

18/07/2026

Tunawashukuru Sana washiriki wa mtaa wa Ng,ambo Kwa ukarimu wenu mliotuonyeshea kwenye kambi lenu la viwango vya juu.

18/07/2026

Tunamshukuru mungu alivyotulinda Tangu tulipofika kwenye kambi la Ng,ambo bihalamulo jina la bwana libalikiwe.

Sikiliza huo wimbo utakubariki sana
17/07/2026

Sikiliza huo wimbo utakubariki sana

Mabomba Manne SDA choir

16/07/2026

Tunaelekea mihisho ya makambi.mungu bado Yuko nasi kwenye utumishi wake tukiwa biharamulo mtaa WA Ng,ambo

15/07/2026

Kwaya ya waadventista wasabato wakiwa kambi mtaa wa Ng,ambo biharamulo

Kwaya ya waadventista mabomba manne wakiwa kwenye kambi mtaa wa Ng,ambo biharamulo.
14/07/2026

Kwaya ya waadventista mabomba manne wakiwa kwenye kambi mtaa wa Ng,ambo biharamulo.

Address

Nyegezi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mabomba manne SDA Church.Nyegezi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mabomba manne SDA Church.Nyegezi:

Shortcuts

Share