Kanisa La EAGT Nazareth - Nyangao

Kanisa La EAGT  Nazareth - Nyangao Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kanisa La EAGT Nazareth - Nyangao, Religious organisation, Nyangao.

Wanafunzi wa CASFETA kutoka Nyangao Sekondari wakihudumiwa na Bishop Herbert Paul Kasambula.Ni kuanzia Samaria mpaka mwi...
21/04/2025

Wanafunzi wa CASFETA kutoka Nyangao Sekondari wakihudumiwa na Bishop Herbert Paul Kasambula.

Ni kuanzia Samaria mpaka mwisho wa nchi 🙏🙏

Nalifurahia waliponiambia twende nyumbani wa Mungu Nyumbani mwa Mungu Kuna furaha na upendo 🙏
21/04/2025

Nalifurahia waliponiambia twende nyumbani wa Mungu

Nyumbani mwa Mungu Kuna furaha na upendo 🙏

Tunamshukuru Mungu sana kwaajili ya semina ya siku nne (Semina ya pasaka) ambayo imetufanya tupige hatua moja mbele kiro...
21/04/2025

Tunamshukuru Mungu sana kwaajili ya semina ya siku nne (Semina ya pasaka) ambayo imetufanya tupige hatua moja mbele kiroho au kiimani. Utukufu na sifa ni kwa Mungu 🙏🙏

Address

Nyangao

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa La EAGT Nazareth - Nyangao posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share