10/02/2026
MWANZA🔥 MWANZA 🔥 MWANZA🔥
"NI SIKU 3 ZA KUPIGANA ILI KUREJESHA KILICHO CHAKO 💪"
Huduma ya Power In Prayers Ministry chini ya Mtumishi wa Mungu Mwl. Mwl Catherine Peter Sesse wanakualika kwenye kongamano la maombi litakaloongozwa na watumishi wa Mungu, Mwl. Catherine Sesse, Pastor Happy Kamili kutoka EAGT Hema ya Furaha Mbeya na Pastor Yusuph Paul wa TAG Simiyu.
Waimbaji watakaohudumu ni pamoja na Filbert Sangule kutoka Dsm, Aaron Mika wa Geita, Roska Renatus wa Mwanza pamoja na Umwema Worship Ministry.
Yohana 10:10 NENO
"Mwizi huja ili aibe, aue na aangamize. Mimi nimekuja ili wapate uzima, kisha wawe nao tele."
Tarehe: 5 - 7 /03/ 2026
Muda: Kuanzia saa 4 asubuhi hadi 12 jioni
Mahali: Almas Tower ghorofa ya 7 Natta (jirani na ofisi za CCM Wilaya ya Nyamagana)
Ni siku 3 za maombi, vita vya kiroho, urejesho wa baraka, uponyaji na kufunguliwa kwa n milango mipya.
Kwa mawasiliano jinsi ya kufika Piga no. 0762834269 / 0654927795
Walete wagonjwa na wenye shida mbalimbali wataombewa.
Mwalike na mtaarifu ndugu, rafiki, Jirani na jamaa yako.
WATU WOTE MNAKARIBISHWA