Jnrprophet Mlokozi/Shiloh International Ministries Njombe

Jnrprophet Mlokozi/Shiloh International Ministries Njombe Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jnrprophet Mlokozi/Shiloh International Ministries Njombe, Religious organisation, Njombe.

Aashukuliwe Mungu kwa Ibada ya Leo ter 9/9/019- Ibada kuza Matunda Asante yesu mesiy kwa yote Utukufu nikwako Bwana
09/09/2019

Aashukuliwe Mungu kwa Ibada ya Leo ter 9/9/019- Ibada kuza Matunda Asante yesu mesiy kwa yote Utukufu nikwako Bwana

Kutoka 40:34[34]Ndipo lile wingu likaifunikiza hema ya kukutania, na huo utukufu wa BWANA ukaijaza maskani._Utufu wa jum...
27/06/2019

Kutoka 40:34
[34]Ndipo lile wingu likaifunikiza hema ya kukutania, na huo utukufu wa BWANA ukaijaza maskani.

_Utufu wa juma pili si wa kukosa

_Utukufu Ni mtaji ju ya MWANADAM
_Utukufu Ni MOTO ulao
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👇 👇 👇 👇 👇

{ Son Of Seer One }

Wafi 4:18Lakini ninavyo vitu vyote na kuzidi, tena nimejaa tele; Nimepokea kwa Mkono wa Babayangu Prophet f J k vitu vil...
22/06/2019

Wafi 4:18
Lakini ninavyo vitu vyote na kuzidi, tena nimejaa tele; Nimepokea kwa Mkono wa Babayangu Prophet f J k vitu vile vilivyotoka kwenu, "HARUFU" ya "MANUKATO", sadaka yenye "KIBALI", impendezayo MUNGU.

___ IBADA YA MANUKATO NA KIBALI JUMA PILI HII

___ IPO NEEMA MADHABAU HII SHILO NJOMBE

___ USIKOSE NJOOO UTAKUTANA NA 👇

KIBARI CHA KUOLEWA

-KUPATA KAZI
-KUGOMBEA UKASHINDA
-KUMTUMIKA MUNGU
-BISHARA
-NDOA
-FEDHA
-KWENDA MATAIFA 🇺🇸🇹🇲🇺🇿🇹🇭🇹🇬🇮🇱
-KUPATA WATU WAKUKUVUSHA JU YA MAISHA YAKO

UKO MBALI SANA NITAFTE WASP

±255767437939 KUA MTII NINAPO KUPA MAELEKEZI YA MUNGU KWA AJILI YAKO

SON OF SEER ON PROPHET M BABA UMOJA

Yule NABII VYA MBINGUNI VIMEAMKIAAA WAPI APO  KIDEGEMBYEEEEEEE MAMBO YATAKUA IVI👉 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥...
20/06/2019

Yule NABII VYA MBINGUNI VIMEAMKIAAA WAPI APO KIDEGEMBYEEEEEEE MAMBO YATAKUA IVI👉 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 NAONA WATU KUFUNGULIWA NAONA UKIMWI IKITOKA NAONA WATU WAKIPATA FEDHA

ULIYOKO MBALI JIANDAE UJE

🔥🍅🍓🍅🍓🥑🍆🍈🍌🍍🥝🍊🍈🔥Hi si ya kukosa
17/05/2019

🔥🍅🍓🍅🍓🥑🍆🍈🍌🍍🥝🍊🍈🔥Hi si ya kukosa

25/04/2019

Shalom
Marko 4:35

Yohana 17:21[21]Wote wawe na "UMOJA"; k**a wewe, BABA, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili...
16/03/2019

Yohana 17:21
[21]Wote wawe na "UMOJA"; k**a wewe, BABA, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.,,,

BAHADA YA KUAGUSHA NGOME ya mingu , NA KUMALIZA MFUNGO WA 21YA JUMA PILI HII NIIBADA YA UMOJA Na chakula Cha kumshukulu MUNGU ALIE AI, USIPANGE KUKOSA TUSHILIKI PAMOJA

Haleluya usikose Ibada ya Meza ya Bwana Bahada ya ubatizo Popote ulipo Wai SA 3:00 asubui lipo jibu LAKO KATIKA Madhabah...
02/02/2019

Haleluya usikose Ibada ya Meza ya Bwana Bahada ya ubatizo Popote ulipo Wai SA 3:00 asubui lipo jibu LAKO KATIKA Madhabahu hii

Marko 1:32-34[32]Hata kulipokuwa jioni, na jua limekwisha kuchwa, walikuwa wakimletea wote waliokuwa hawawezi, na wenye ...
14/01/2019

Marko 1:32-34
[32]Hata kulipokuwa jioni, na jua limekwisha kuchwa, walikuwa wakimletea wote waliokuwa hawawezi, na wenye pepo.
[33]Na mji wote ulikuwa umekusanyika mlangoni.
[34]Akaponya wengi waliokuwa na maradhi mbalimbali, akatoa pepo wengi, wala hakuwaacha pepo kunena, kwa sababu walimjua.,,, Popote ulipo njo udumiwe ufundiswe no wasp ±255 7437939

Mwaka. Wa Majibu yako 019, mwaka Wa kusot 018 tumeuaga byeeee🖐️🖐️🖐️🖐️, mwaka Wa GROLY TO GROLY, 2 Wakorintho 3:18[18]Lak...
03/01/2019

Mwaka. Wa Majibu yako 019, mwaka Wa kusot 018 tumeuaga byeeee🖐️🖐️🖐️🖐️, mwaka Wa GROLY TO GROLY,

2 Wakorintho 3:18
[18]Lakini sisi sote, kwa uso usiotiwa utaji, tukiurudisha UTUKUFU wa Bwana, k**a vile katika kioo, tunabadilishwa tufanane na mfano uo huo, toka UTUKUFU hata UTUKUFU, k**a vile kwa UTUKUFU utokao kwa BWANA, aliye Roho.

28/12/2018

Yesu akujibu

SHALOM ...Wanangu Wote Pamoja Na Familia Nzima Ha Shiloh International Ministries Tanzania Ninapenda Kuwajulisha Kuwa Tu...
22/12/2018

SHALOM ...
Wanangu Wote Pamoja Na Familia Nzima Ha Shiloh International Ministries Tanzania

Ninapenda Kuwajulisha Kuwa Tutakuwa Na Ibada Siku Ya Jumapili [ Kesho ] Katika Viwanja Vya Maonyesho Sabasaba, Jina La Ukumbi Ni Ngorongoro

Ibada Hii Itaanza Saa 4:00 Asubuhi, Popote Ulipo Hakikisha Unatuma Ujumbe Huu Kwa Watu Mbali Unaotamani MUNGU Awahudumie / Upokee Pamoja Nao

Nawapenda, MUNGU Awabariki ...

Address

Njombe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jnrprophet Mlokozi/Shiloh International Ministries Njombe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share