08/11/2016
Askofu wa Agape Mkoa wa Njombe, Bishop Mercy Mbilinyi alipata nafasi ya kuelezea kuhusu Agape na kazi ya Mungu katika kituo cha redio cha KINGS FM mjini Njombe mapema wiki hii.
Agape Wuema.... MOTO WA YESU!