Mjue Mungu

Mjue Mungu Tunalenga kujifunza neno la MUNGU wetu aliye hai karibunii!!

05/01/2020

Siku zote wapendwa maombi ni bora saana katika utumishi lakini si maombi ya kulalamika jifunze kuomba na sio kulalamika kwa mungu Habakuki 2:1

02/01/2020

Jamani naombeni mnisaidie eti kuna tofauti gani kati y mungu na YESU au yote sawaa??

02/01/2020

Haleluya lisifuni jina la BWANA enyi watumishi wake BWANA nanyi msimamao nyumbani mwa BWANA nyuani mwa BWANA mungu wenuu tafakari ya leo je wewe unamsifu nanii??

21/12/2019

Je YESU ni namba ngapi kwakoo?? Nambie.

24/11/2019

Watu wengi wako tayari kulia pale wanapogundua mapenzi yao na wapenzi wao yameharibika Ila hawako tayari kulia na kujutia mapenzi yao na Yesu yanapoharibika

23/11/2019

Neema ya Bwana wetu Yesu kristo ikae nanyi usiku wa Leo.

02/10/2019

Ndugu tafakarini njia zenu namatendo yenu muone k**a yanampendeze Mungu k**a la geuzeni nia zenu kabla ya siku mbaya kuja kwenuu

Mkinipenda mtazishika amri zangu... maana wananikubali kwa maneno Ila kwa matendo wamenikana...
01/10/2019

Mkinipenda mtazishika amri zangu... maana wananikubali kwa maneno Ila kwa matendo wamenikana...

09/08/2019

Bwana Yesu asifiwe! naomba niulize swali je, k**a mungu wetu ni mmoja kwa nin kuna madhehebu tofauti?

07/08/2019

Mwana mwenye hekima humfvrahsha babaye bali mwana mpumbavu ni mzgo kwa mama ye

02/08/2019

Bwana YESU asifiwe!!. wapo wengi wanapenda kuwasifu wapenzi wao, wachumba wao, waume zao, wake zao, ama wazazi wao. Ila me napenda na nikuombe tumsifu YESU kristo pekee atupaye uzima amen!

01/08/2019

Mnawaza nini juu ya Bwana?

Address

Ntobeye
Ngara

Telephone

+255745788385

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mjue Mungu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share