USCF Mzumbe

USCF Mzumbe University Student Christian Fellowship
Mzumbe University
We beleive Jesus Christ as Our Lord and Saviour

Honoring the hands that build, serve, and keep the world moving 🙌This Labour Day, we celebrate every effort, every sacri...
30/04/2026

Honoring the hands that build, serve, and keep the world moving 🙌
This Labour Day, we celebrate every effort, every sacrifice, and every purpose driven work. May your labor be fruitful and guided by God’s grace.

“Commit thy works unto the Lord, and thy thoughts shall be established.” Proverbs 16:3 ✨

A new semester unfolds before us like a fresh page, filled with purpose, promise, and endless possibilities. As we gathe...
24/04/2026

A new semester unfolds before us like a fresh page, filled with purpose, promise, and endless possibilities. As we gather for this Opening Mass, we are reminded that this journey is not ours alone God walks with us in every lecture, every assignment, every late night, and every moment of doubt and victory. We bring our dreams, our fears, our goals, and our struggles before Him, trusting that He will shape our paths and strengthen our hearts.

May this semester be one of growth not only in knowledge, but in wisdom, character, and faith. When the days feel heavy, may we find strength in His presence. When success comes, may we remain humble and grateful. And through it all, may our efforts reflect His light in everything we do. Together, we begin this journey grounded in faith, united in purpose, and ready to rise above every challenge with courage and hope. 🙏✨

“Trust in the Lord with all your heart and lean not on your own understanding; in all your ways submit to Him, and He will make your paths straight.” Proverbs 3:5–6

Mwalimu  ni chombo cha Mungu kinachogusa mioyo na kubadilisha maisha kupitia Neno lenye uzima; kila fundisho lake hutuje...
04/04/2026

Mwalimu ni chombo cha Mungu kinachogusa mioyo na kubadilisha maisha kupitia Neno lenye uzima; kila fundisho lake hutujenga, hututia nguvu, na kutuongoza katika njia ya haki, kwa maana.

“Lihubiri Neno, uwe tayari wakati ufaao na usiofaa, onya, kemea, na kuhimiza kwa uvumilivu wote na mafundisho” (2 Timotheo 4:2) 🙏✨

04/04/2026
Day 3 ✨ Leo tunazidi kuzama ndani ya uwepo wa Mungu kwa kina zaidi. Sio tu safari ya kawaida, bali ni mwendelezo wa mgus...
04/04/2026

Day 3 ✨ Leo tunazidi kuzama ndani ya uwepo wa Mungu kwa kina zaidi. Sio tu safari ya kawaida, bali ni mwendelezo wa mguso wa mbinguni unaobadilisha mioyo yetu hatua kwa hatua. Kila neno linalotamkwa lina nguvu ya kuinua, kila ibada inaleta uamsho mpya, na kila wakati mbele za Mungu unajenga imani isiyotikisika. Tunaona mkono wa Mungu ukifanya kazi waziwazi—kuponya, kurejesha, na kufungua milango mipya ya neema. Hakika hii ni siku ya kukua kiroho, siku ya kuimarika, na siku ya kupokea kile ambacho Mungu ameandaa kwa ajili yetu tangu mwanzo.

“Nami nina hakika ya neno hili, ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya Yesu Kristo.” (Wafilipi 1:6) 🙏🔥

Leo tumebarikiwa kusikia Neno la Mungu kupitia watumishi wake waliotumika kwa unyenyekevu na nguvu ya Roho Mtakatifu. Vi...
03/04/2026

Leo tumebarikiwa kusikia Neno la Mungu kupitia watumishi wake waliotumika kwa unyenyekevu na nguvu ya Roho Mtakatifu. Viongozi hawa wamekuwa chombo cha mabadiliko, wakitufundisha kwa hekima, upendo na mamlaka ya kiroho. Hakika, mafundisho yao yamegusa mioyo yetu na kutuongoza katika njia ya kweli.

" Ikumbukeni wale waliowaongoza, waliowaambia neno la Mungu; yatafakarini mwisho wa mwenendo wao mkaiige imani yao". (Waebrania 13:7). 🙏✨

Baada ya kufika Dodoma na mkutano kuanza, tulihisi uwepo wa Mungu kwa namna ya kipekee 🙌🔥 Sio tena safari, sasa ni uamsh...
03/04/2026

Baada ya kufika Dodoma na mkutano kuanza, tulihisi uwepo wa Mungu kwa namna ya kipekee 🙌🔥 Sio tena safari, sasa ni uamsho wa roho, nguvu mpya, na neema inayotiririka kila dakika ✨ Kila neno linafufua tumaini, kila sifa inaleta ushindi.
“Maana walipo wawili au watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao” (Mathayo 18:20) 💖 Hii ni zaidi ya mkutano ni msimu wa kubadilishwa kabisa!

YouthForChrist

Safari ya Easter Conference Dodoma 2026 inaanza kwa imani kubwa mioyoni mwetu 🙏✨ si safari ya kawaida bali ni mwaliko wa...
03/04/2026

Safari ya Easter Conference Dodoma 2026 inaanza kwa imani kubwa mioyoni mwetu 🙏✨ si safari ya kawaida bali ni mwaliko wa kukutana na Mungu, kupokea NENO na kubadilishwa kabisa 💖 tunasafiri si kwa miguu tu bali kwa kusudi, tukiamini kuwa kila hatua inaleta mabadiliko mapya ndani yetu 🔥

“Neno lako ni taa ya miguu yangu, na mwanga wa njia yangu.” Zaburi 119:105

ChristianLife

Asante sana kwa huduma yako ya uaminifu, upendo na kujitoa 🙏 maisha yako ni ushuhuda wa neema ya Mungu na mfano wa kweli...
28/03/2026

Asante sana kwa huduma yako ya uaminifu, upendo na kujitoa 🙏 maisha yako ni ushuhuda wa neema ya Mungu na mfano wa kweli wa kumtumikia kwa moyo wote; ulichofanya kinaendelea kugusa na kubadilisha maisha ya wengi, na hakika Bwana atakulipa kwa kila jema ulilolitenda. 📖 “Bwana wake akamwambia, Vema, mtumwa mwema na mwaminifu… ingia katika furaha ya Bwana wako.” Mathayo 25:21

✨ Easter National Conference 2026✨A place where lives are transformed, faith is renewed, and hearts encounter God in a p...
14/03/2026

✨ Easter National Conference 2026✨
A place where lives are transformed, faith is renewed, and hearts encounter God in a powerful way.

From April 2–5 in Dodoma, we gather to seek the presence of God, receive His Word, and step into the next level of purpose.

Come expecting miracles, inspiration, and a divine encounter. Your life will never be the same again. 🙏🔥

📖 “Draw near to God, and He will draw near to you.”James 4:8

✨🙏

Address

Mzumbe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when USCF Mzumbe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to USCF Mzumbe:

Share