Musa Jonasi

Musa Jonasi Page hii nimeifungua kwa Lengo kubwa la kuitangaza injili ya YESU KRISTO na kujengana kiroho Na kimwili. Karibuni sanaaa

28/08/2026
Nikiwa na mama yangu mzazi (Mchungaji Yustina Kigolimba) kutokea UramboTabora, ambaye ni Makamu mwangalizi wa Kanisa la ...
19/08/2026

Nikiwa na mama yangu mzazi (Mchungaji Yustina Kigolimba) kutokea UramboTabora, ambaye ni Makamu mwangalizi wa Kanisa la TAG SECTION YA URAMBO KUSINI. Amewasili Dodoma kwa ajili ya kuhuzuria Mkutano Mkuu wa wachungaji wote hapa Dodoma... Glory to God

Imekuwa Baraka sanaa sanaa leo kuonana na na 1. Mwalimu wangu Level 2. Mchungaji wangu,, amenilea sanaa3. Kwenye harusi ...
18/08/2026

Imekuwa Baraka sanaa sanaa leo kuonana na na
1. Mwalimu wangu Level
2. Mchungaji wangu,, amenilea sanaa
3. Kwenye harusi yangu alikuwa nami bega kwa bega ,, akajitoa usafiri na akaniendesha free in charge kabisa, hata gari lilipopata hitilafu akalitengeneza bila hata kunipa presha bwana harusi,, duuuh huyu ni zaidi ya ndugu kwangu.
4. Big Brother at our home family..

Asante sanaa Pst Jesse Matosha,,, nashukuru sanaaa sanaaaa kwa upendo wako kwetu.

14/08/2026

Huduma ya Injili imefika leo shule ya Royal Feat Dodoma.. it was awesome

10/08/2026

Teens church, TAG CCC

Huyu binti ngoja nifanye mpango wa kumchumbia tenaaaaa..... hahaha
10/08/2026

Huyu binti ngoja nifanye mpango wa kumchumbia tenaaaaa..... hahaha

Address

Itundu
Mzumbe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Musa Jonasi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Musa Jonasi:

Shortcuts

Share