Jesus Restoration Center - JRC

Jesus Restoration Center - JRC Jesus Restoration Centre ni kanisa la kipentekoste lililopo chini ya uongozi wa Mchungaji George Mukabwa. Kanisa hili lilianza Novemba, 2011.

10/09/2026

|| PASTOR GEORGE MUKABWA || JRC CHURCH || 10/09/2026

PASTOR GEORGE MUKABWA - SENIOR PASTOR - JESUS RESTORATION CENTER (JRC), MWANZA, TANZANIA.

Unaweza Tuma sadaka yako yako kupitia;
M-Pesa Lipa Namba : 5252176
M-Pesa Namba : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
-Safari Com : +254 722 578 776 (Jina : George Stephen Mukabwa)

Gospel Teachings for soul winning Purpose..

10/09/2026

KANUNI YA UTOAJI

✍🏽 Msingi wa kanuni ya utoaji unaanza na ZAKA.

K**a wewe ni mwana wa Mungu na unamwamini Mungu akufanikishe katika kazi zako, biashara zako na shughuli zako, basi ni muhimu kuwa mtoaji wa zaka.

Zaka siyo tu kutoa sehemu ya kipato chako, bali ni tendo la kumtanguliza Mungu katika kile unachokipata.

Unapokuwa mwaminifu katika zaka, unaingia katika partnership na Mungu katika kile unachokifanya. Unamruhusu Mungu kuwa sehemu ya kazi zako, mipango yako na mafanikio yako.

💡 Zaka inatufundisha kumtegemea Mungu na kumheshimu kwa kile anachotupa.

Kwa hiyo, k**a unataka kuona mkono wa Mungu katika kazi zako na kutamani Mungu azibariki na kuzifanikisha, anza na msingi wa utoaji—ZAKA.

09/09/2026

KANUNI YA MPENYO WA KIFEDHA NAMBA 2 ( UTOAJI)

Napataje Mpenyo Wa Kifedha?🤔

✍🏽Lazima uwe mtoaji

Hatutoi kumsaidia Mungu,Tunatoa ili tubarikiwe
Uwezi kua na baraka ya Mungu k**a hauko tayari kua mtoaji

✍🏽Hata katika udogo wako wa kifedha bado kuna mtu ambae anakutegemea umsaidie

08/09/2026

✍🏽KUNA KANUNI AMBAZO ZINAKUPA MPENYO WA KIFEDHA

1)Lazima uwe na neno la Mungu ambalo unaliamini na umelisimamisha k**a nguzo ya kukuingiza katika mpenyo wa kifedha

Luka 5:5
Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu.

✍🏽ukiwa na neno unalo simama nalo linakupa nuru na ujasiri ndani yako

Isaya 55:11
ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.

✍🏽uzuri ni kwamba neno la Mungu lazima likipe utimilifu.

SUNDAY SERVICE — PICTURE HIGHLIGHTSHakika ilikuwa ibada ya baraka, ushindi, kibali na kuingia katika viwango vingine.Tum...
07/09/2026

SUNDAY SERVICE — PICTURE HIGHLIGHTS

Hakika ilikuwa ibada ya baraka, ushindi, kibali na kuingia katika viwango vingine.

Tumejifunza kuhusu “HOFU YA MUNGU” na tumeelezwa jinsi hofu ya Mungu ilivyo msingi wa maisha ya Mkristo, ikitufundisha kumheshimu Mungu, kuchukia dhambi na kulitii Neno lake.

Hakika tumetoka tukiwa na uelewa mpya na nguvu mpya ya kumcha Mungu na kuishi kwa kumpendeza.

K**a ulikosa ibada hii, usikose somo kamili linalopatikana YouTube.

▶️ YouTube: Pastor George Mukabwa

Usiache kutufuatilia na kuwa sehemu ya kile Mungu anachofanya.

07/09/2026

✍🏽Unaweza kua na mpenyo wa kiroho na usiwe na mpenyo wa kifedha

✍🏽Mpenyo wa kifedha una kanuni zake.

07/09/2026

MORNING GLORY-Commanding the New Week || PASTOR GEORGE MUKABWA || 07/09/2026

PASTOR GEORGE MUKABWA - SENIOR PASTOR - JESUS RESTORATION CENTER (JRC), MWANZA, TANZANIA.

Unaweza Tuma sadaka yako yako kupitia;
M-Pesa Lipa Namba : 5252176
M-Pesa Namba : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
Safari Com : +254 722 578 776 (Jina : George Stephen Mukabwa)
CRDB Bank : 10120994269 (Jina : Jesus Restoration Centre)

06/09/2026

IBADA YA JUMAPILI ||PASTOR GEORGE MUKABWA || 06/09/2026

PASTOR GEORGE MUKABWA - SENIOR PASTOR - JESUS RESTORATION CENTER (JRC), MWANZA, TANZANIA.

Unaweza Tuma sadaka yako yako kupitia;
M-Pesa Lipa Namba : 5252176
M-Pesa Namba : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
Safari Com : +254 722 578 776 (Jina : George Stephen Mukabwa)
CRDB Bank : 10120994269 (Jina : Jesus Restoration Centre)

Foreign Currency Account:
KCBank: 3300950414. {USD} (Name: Jesus restoration Centre)

06/09/2026

UNDERSTANDING THE FEAR OF THE LORD || FIRST SERVICE ||PASTOR GEORGE MUKABWA|| 06/09/2026

KCBank: 3300950414. {USD} (Jina: Jesus restoration Centre)

Address

Kirumba
Mwanza
255

Opening Hours

Monday 06:00 - 21:00
Tuesday 06:00 - 21:00
Wednesday 06:00 - 21:00
Thursday 06:00 - 21:00
Friday 06:00 - 09:00
Saturday 12:00 - 18:00
Sunday 06:00 - 21:00

Telephone

+255788353007

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jesus Restoration Center - JRC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share