Beacon Mission Christian Center - BMCC

Beacon Mission Christian Center - BMCC KNOW GOD AND MAKE HIM KNOWN

Dancing is worship           Cc.
01/06/2026

Dancing is worship


Cc.

31/05/2026

Nalifurahia waliponiambia twende nyumbani mwa Bwana kwenye uponyaji😊

Ready for the powerful Sunday Service you can Join us through our YouTube Channel
31/05/2026

Ready for the powerful Sunday Service you can Join us through our YouTube Channel

30/05/2026

Karibu kanisani kesho

26/05/2026

Roho Mtakatifu ni Neema tunayoipokea kutoka kwa MUNGU.


24/05/2026

Upendo Alionao MUNGU kwetu haulinganishwi na kitu chochote tunachoweza kudhani kuwa kina thamani sana kwenye maisha yetu, na hii ndo thamani ya kwanza na kubwa kuliko zote katika maisha yetu!


Umeokoka lakini hatuoni matokeo ya kiwango cha juu cha Roho Mtakatifu katika jambo fulani kwenye maisha yako zaidi tu ya...
22/05/2026

Umeokoka lakini hatuoni matokeo ya kiwango cha juu cha Roho Mtakatifu katika jambo fulani kwenye maisha yako zaidi tu ya kuokoka basi.

📌Umeokoka Sawa na mbinguni utaenda ila cha ziada hapa duniani baada ya wewe kuokoka hatuoni.
💪🏻Huwezi kuwa na vipawa vya Roho Mtakatifu k**a tu Wokovu wako bado ni wa mashaka mashaka. Unakosa mguso wa KiMungu katika kufanya na kutimiza kazi zote za Roho Mtakatifu.
💪🏻Kiwango cha kawaida maana yake unakosa hata madhara kwa Shetani, yaani Shetani haoni tofauti yako kabla na baada ya kuokoka. Moto si moto, baridi si baridi yaani wewe ni uvuguvugu tu. Ufunuo 3:15-16
📝Hata akianguka dhambini wala hashtuki kuwa ameanguka dhambini ili arudi kutubu. (dhamiri yake imekufa.)
🟢Ni wakati wa kujitafakari na kuangalia wapi ulirudi nyuma utengeneze na Mungu.
JUMAPILI Hii tutakuwa tunahitimisha JUMA LA PENTEKOSTE karibu sana jumapili uwe baraka kubwa, kwa ambao hawatakuwepo mzingira ya karibu tutakuwa mbashara jumapili hiyo kwenye Channel yetu YOUTUBE. karibu sana!

22/05/2026

Your seat reserved for you, your most welcome

Praise Him with the sound of the trumpet: Praise Him with the psaltery and harp.Praise Him with the timbrel and dance: P...
21/05/2026

Praise Him with the sound of the trumpet:
Praise Him with the psaltery and harp.
Praise Him with the timbrel and dance:
Praise Him with stringed instruments and organs.
Praise Him upon the loud cymbals:
Praise Him upon the high sounding cymbals.
Let every thing that hath breath praise the LORD. Praise ye the LORD.


Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Beacon Mission Christian Center - BMCC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Beacon Mission Christian Center - BMCC:

Share