POWER of GOD Tanzania- P.O.G ,Tz

POWER of GOD Tanzania- P.O.G ,Tz POWER OF GOD TZ IS A PENTECOSTAL INTERNATIONAL MINISTRIES;WE BELIEVE WHAT JESUS CHRIST DID IN THE BIBLE HE CAN DO THE SAME NOW "I.N.A.W.E.Z.E.K.A.N.A"Act 1:8

Ahsante@ Afya Radio 96.8 Mwanza Magubu S Emmanuel
28/05/2023

Ahsante@ Afya Radio 96.8 Mwanza
Magubu S Emmanuel

Baraka ya BWANA huleta utajiri usio na pressure,kisukari,ugonjwa wa moyo wala  ndoa Kuvunjika ni tofauti kabisa na utaji...
04/07/2022

Baraka ya BWANA huleta utajiri usio na pressure,kisukari,ugonjwa wa moyo wala ndoa Kuvunjika ni tofauti kabisa na utajiri wa kafara za watu na matambiko ya kichawi....
Pokea BARAKA ya BWANA ITAJIRISHAYO KATIKA NUSU YA MWAKA HUU 2022 katika JINA LA YESU KRISTO.AMEN.
Kindly follow

Baraka ya BWANA huleta utajiri usio na pressure,kisukari,ugonjwa wa moyo wala  ndoa Kuvunjika ni tofauti kabisa na utaji...
04/07/2022

Baraka ya BWANA huleta utajiri usio na pressure,kisukari,ugonjwa wa moyo wala ndoa Kuvunjika ni tofauti kabisa na utajiri wa kafara za watu na matambiko ya kichawi....
Pokea BARAKA ya BWANA ITAJIRISHAYO KATIKA NUSU YA MWAKA HUU 2022 katika JINA LA YESU KRISTO.AMEN.

Follow  for more daily God's promise
03/07/2022

Follow for more daily God's promise

Psalms 124:7[7]Our soul is escaped as a bird out of the snare of the fowlers: the snare is broken, and we are escaped. N...
23/03/2022

Psalms 124:7
[7]Our soul is escaped as a bird out of the snare of the fowlers: the snare is broken, and we are escaped.
Nafsi yetu imeokoka k**a ndege Katika mtego wa wawindaji, Mtego umevunjika, nasi tumeokoka.
Sema Amen!

15/03/2022

USIOGOPE YESU BADO ANAINUA WATU U ARE THE NEXT.!!!
.

Proverbs 25:2[2]It is the glory of God to conceal a thing: but the honour of kings is to search out a matter. Ni utukufu...
07/03/2022

Proverbs 25:2
[2]It is the glory of God to conceal a thing: but the honour of kings is to search out a matter.
Ni utukufu wa Mungu kuficha jambo; Bali ni utukufu wa mfalme kuchunguza jambo.

MKAZI WA MWANZA NANYENYEKEA KUKUALIKA KATIKA SEMINA YA NENO LA UZIMA KUTOKA KWA MPAKWA MAFUTA WA BWANA MWL. MELECK WANYA...
21/11/2021

MKAZI WA MWANZA NANYENYEKEA KUKUALIKA KATIKA SEMINA YA NENO LA UZIMA KUTOKA KWA MPAKWA MAFUTA WA BWANA MWL. MELECK WANYANGI KUTOKA CONGO DRC.
JUMATANO HII HADI JUMAPILI (24-28/11/2021)
SIKU TATU ZIJAZO.
KARIBU SANA

SOMA BIBLIA NDUGU NI CHAKULA CHA ROHO K**A MWILI UNAVYOHITAJI CHAKULA VIVYO HIVYO WAHITAJI NENO(CHAKULA CHA KIROHO) ILI ...
27/10/2021

SOMA BIBLIA NDUGU NI CHAKULA CHA ROHO K**A MWILI UNAVYOHITAJI CHAKULA VIVYO HIVYO WAHITAJI NENO(CHAKULA CHA KIROHO) ILI USIWE NA UKIRO( UPUNGUFU WA KINGA ROHONI)...UKASHAMBULIWA NA MAGONJWA NYEMELEZI(MAFUNZO YA MASHETANI NA MANABII WA UONGO) UKADANGANYWA NA KUIBIWA NA MBWA MWITU WALIOZAGAA MITAANI WAKIJIVIKA UTAUWA HALI NI WAASI NAMBA MOJA WAKIWA WAMEVAA NGOZI YA KONDOO KUMBE NDANI NI MBWA MWITU WAKALI.....
NENO PEKEE LITAKUPA NURU KUWAJUA NA KUWAEPUKA K**A HUNA NENO( NURU) UKO GIZANI HATA K**A UNASALI KANISA LA GHOROFA NA MALUMALU NA UKO KWA SIJUI MTUME NA NABII AU ASKOFU NA KORA NA FATHER NA SISTER...
SOMA NENO WEWE!
ACHA UJUAJI K**A HUSOMI BIBLIA UNA UTAPIA MLO WA KIROHO NA UTAVUNWA NA SHETANI NA MPINGA KRISTO AMBAO TAYARI WAKO KAZINI....
ASEMA NABII WA KWELI WA BWANA ...NA KILA MWENYE PUMZI ASEME AMENI.
UTUKUFU KWA YESU KRISTO

Address

Mwanza

Telephone

+255766873708

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when POWER of GOD Tanzania- P.O.G ,Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to POWER of GOD Tanzania- P.O.G ,Tz:

Share

Category