Bethel Fellowship Center -Butimba

Bethel Fellowship Center -Butimba Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bethel Fellowship Center -Butimba, Religious organisation, Mwanza.

2018Ni mwaka wa kumilikitumevuka, tunatabiri kumiliki .
31/12/2017

2018
Ni mwaka wa kumiliki
tumevuka, tunatabiri kumiliki .

Karibuni  sana
17/11/2017

Karibuni sana

Bwana Yesu Asifiwe,Usikose ibada iliyojaa utukufu wa Mungu siku ya kesho hapa TGC BETHEL BUTIMBA mtaa wa AMANI.Saa 1 had...
15/07/2017

Bwana Yesu Asifiwe,
Usikose ibada iliyojaa utukufu wa Mungu siku ya kesho hapa TGC BETHEL BUTIMBA mtaa wa AMANI.
Saa 1 hadi saa 3 asubuhi ni ibada ya kwanza, na ibada ya pili ni kuanzia saa 4 na kuendelea.
Maombezi kwa wenye mahitaji mbalimbali yatafanyika ibada ya pili na Askofu Robert Bundala,
Usikose,
Karibu tumwabudu na kumsifu Mungu pamoja.

Bwana Yesu Asifiwe,Tunakukaribisha katika ibada nzuri ya kumsifu Mungu, Kumwabudu Mungu na kujifunza neno la Mungu siku ...
18/03/2017

Bwana Yesu Asifiwe,
Tunakukaribisha katika ibada nzuri ya kumsifu Mungu, Kumwabudu Mungu na kujifunza neno la Mungu siku ya kesho hapa TGC BETHEL BUTIMBA mtaa wa AMANI.
Saa 1 hadi saa 3 asubuhi ni ibada ya kwanza, na ibada ya pili ni kuanzia saa 4 na kuendelea.
Maombezi kwa wenye mahitaji mbalimbali yatafanyika ibada ya pilia na Askofu Robert Bundala,
Usikose,
Karibu tumwabudu na kumsifu Mungu pamoja.

Hitimisho la Maombi ya siku 21, hakika tumemwona Mungu, Na tunaamini tumepokea majibu yetu.
23/01/2017

Hitimisho la Maombi ya siku 21, hakika tumemwona Mungu, Na tunaamini tumepokea majibu yetu.

Tunamshukuru Mungu kwa mkesha mkubwa tuliokua nao siku ya Jana, Roho wa Mungu alitutembelea kwa namna  ya pekee sana. US...
21/01/2017

Tunamshukuru Mungu kwa mkesha mkubwa tuliokua nao siku ya Jana, Roho wa Mungu alitutembelea kwa namna ya pekee sana.
USIKOSE KUFIKA KWENYE IBADA ZETU SIKU YA KESHO

18/01/2017

Bwana Yesu asifiwe.
Bethel Fellowship Centre-Butimba tunakukaribisha katika mkesha mkubwa wa maombi ya kufunguliwa afya na uchumi ili uanze majira mapya 2017' utakaofanyika siku ya ijumaa
tarehe 20/1/2017 kanisani
kuanzia SAA 3:00 usiku. Njoo na rafiki yako , ndugu yako na jirani yako, tumwombe Mungu pamoja.
TUPO BUTIMBA MTAA WA AMANI

*MKESHA HUU SI WA KUKOSA*

Karibu Bethel Fellowship Centre, njoo tumwabudu Mungu Pamoja,  siku ya kesho.Ibada ya kwanza 01:00 - 03:00 asubuhiIbada ...
14/01/2017

Karibu Bethel Fellowship Centre, njoo tumwabudu Mungu Pamoja, siku ya kesho.
Ibada ya kwanza 01:00 - 03:00 asubuhi
Ibada ya pili. 04:00 - 07:30 Mchana

*TUKO BUTIMBA , MTAA WA AMANI*

12/01/2017
Tunamshukuru Mungu Leo tumekuwa na ibada nzuri ya Baraka ya kumshukuru Mungu kwa ajiri ya mambo aliyotutendea mwaka 2016...
01/01/2017

Tunamshukuru Mungu Leo tumekuwa na ibada nzuri ya Baraka ya kumshukuru Mungu kwa ajiri ya mambo aliyotutendea mwaka 2016. Hakika tumemwona Mungu.
Tumekula na kunywa pamoja k**a familia.
Utukufu tunamrudishia Mungu.

Happy new year 2017
01/01/2017

Happy new year 2017

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bethel Fellowship Center -Butimba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share