Umoja wa Uinjilisti wa Vikosi - UUV

Umoja wa Uinjilisti wa Vikosi - UUV Mbinu, vikosi na kempu za uinjilisti |
We lead evangelism movements

Kanuni za msingi za uinjilisti wenye ufanisi.1. Jenga mahusiano na watu: Pata kuwajua watu, sikiliza habari zao, tafuta ...
15/12/2025

Kanuni za msingi za uinjilisti wenye ufanisi.

1. Jenga mahusiano na watu:
Pata kuwajua watu, sikiliza habari zao, tafuta mambo yanayofanana na wao na uwaombee kabla ya kukutana nao ili kuwashirikisha imani yako.

2. Ishi Imani Yako:
Weka matendo yako (uadilifu, ukarimu, upendo) yaakisi tabia za Kristo (injili), na kuifanya hiyo tabia iwe ya kuvutia kwa wengine.

3. Hubiri Injili na hadithi yako:
Kila mara unapohubiri kumbuka kutoa ushuhuda wako mweyewe wa jinsi Kristo alivyokubadilisha.

4. Omba moyoni uwezeshwe na Roho:
Tegemea mwongozo wa Mungu wakati wote unapoachilia maneno unayohubiri au kufundisha, ukimwachia Mungu matokeo yake maana yeye ndiye hukuza mbegu tuipandayo mioyoni mwa watu.

5. Kuwa Mwema:
Kuwa mkarimu, mkweli na mwenye adabu, kiasi na mipaka; epuka lawama au kuunda msuguano au kashfa.

Address

Mwanza

Telephone

+255694334556

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Umoja wa Uinjilisti wa Vikosi - UUV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Umoja wa Uinjilisti wa Vikosi - UUV:

Shortcuts

Share