Hija Kawekamo Mwanza

Hija Kawekamo Mwanza religious conference

KARIBU SANA
19/02/2026

KARIBU SANA

23/01/2026
SOTE TUNAKARIBISHWA
19/03/2025

SOTE TUNAKARIBISHWA

02/12/2024

Kristu......... Kumekucha
OFISI YA HIJA JIMBO KUU LA MWANZA inakualika katika IBADA YA MOYO SAFI WA BIKIRA MARIA AMBAPO tutashiriki
MAFUNGO NA SEMINA ni Jumamosi hii tarehe 7/12/2024.
Ratiba itaanza saa 2:30 Asubuhi. Mjulishe na mwingine. Tulianza na Mama tunamaliza na Mama

TUKUTANE KAWEKAMO. MIMI NITAKUWEPO WEWE JE?????

IMETOLEWA NA OFISI YA HIJA JIMBO

30/10/2024

Mama Maria, unaalikwa kuhudhulia Mafungo na semina jmosi ya kwanza ya mwezi tarehe 2/11/2024 kwenye madhabahu ya Bikra Maria malkia wa Kawekamo.ushauri wa kiroho na sakramenti ya upatanisho vitakuwepo.ratiba itaanza saa 2:30 asubuhi kwa njia ya msalaba.sote tunakaribishwa.mtaarifu na mwingine

Address

Kawekamo Mwanza
Mwanza

Telephone

255621949338

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hija Kawekamo Mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share