Juses Patmos Mission International.

Juses Patmos Mission International. changing the life changing the people to believe God

Katika Maisha yako unaitaji kutumia akili sana uliyo pewa na Mungu ndipo utafanikiwa.
24/05/2026

Katika Maisha yako unaitaji kutumia akili sana uliyo pewa na Mungu ndipo utafanikiwa.

03/05/2026

NENO LA KINABII LA MWEZI HUU WA TANO NIMWEZI WA MAZIWA NA ASALI
KUTOKA 13:5

13/04/2026
HAYUMO TENA KABURINI AMEFUFUKA SIKU YA TATU YOHANA 20:1-23.Pokea nguvu ya ufufuo juu afya yako Biashara yako, uchumi wak...
05/04/2026

HAYUMO TENA KABURINI AMEFUFUKA SIKU YA TATU
YOHANA 20:1-23.
Pokea nguvu ya ufufuo juu afya yako Biashara yako, uchumi wako katika uzao wako kwajina la Yesu kristo.

Mama huyu kulia akiwa na binti yake akitoa shuhuda  ya binti yake aliye kuwa mjamzito kwa muda wa miezi 10 bila kujifung...
29/03/2026

Mama huyu kulia akiwa na binti yake akitoa shuhuda ya binti yake aliye kuwa mjamzito kwa muda wa miezi 10 bila kujifungua pia alikuwa akiishiwa Damu mara kwa mara alipo leta picha ya binti yake madhabahuni na mtu wa Mungu Nabii ELIYA kilagula alipo muombe tatizo la Damu likaisha akajifungua salama mtoto wa kiume leo amekuwa ndiye huyo.

MUNGU NIMKUU
19/03/2026

MUNGU NIMKUU

SOMO BADOTUNAISHIunawahitaji watu kwenye maisha yako Adui yako wa leo ndiye rafiki yako wa kesho.2Samwel 3:17-21.
15/03/2026

SOMO BADOTUNAISHI
unawahitaji watu kwenye maisha yako
Adui yako wa leo ndiye rafiki yako wa kesho.
2Samwel 3:17-21.

NENO LA KINABII MWEZI HUU MARCH NIMWEZI WA MAFANIKIO ZABURI 1:3.ufanikwe kwajina la Yesu kristo mafanikio yakufate kwaji...
02/03/2026

NENO LA KINABII MWEZI HUU MARCH NIMWEZI WA MAFANIKIO
ZABURI 1:3.
ufanikwe kwajina la Yesu kristo
mafanikio yakufate kwajina la Yesu kristo.

Address

Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255745108319

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Juses Patmos Mission International. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Juses Patmos Mission International.:

Share