Jesus Patmos Mission International.

Jesus Patmos Mission International. changing the life changing the people to believe God

NENO LA KINABII LA MWEZI HUU WA AUGUST 2026 NIMWEZI WA KUMTUMIKIA BWANA YOSHUA 24:15Chagua ninani utakae mtumikia Mimi n...
02/08/2026

NENO LA KINABII LA MWEZI HUU WA AUGUST 2026 NIMWEZI WA KUMTUMIKIA BWANA
YOSHUA 24:15
Chagua ninani utakae mtumikia
Mimi na Nyumba yangu tutamtumikia Bwana.

31/07/2026

JE UMEDUMU KWENYE HATUA MOJA YA MAFANIKIO KWA MUDA MREFU?

31/07/2026
NENO LA KINABII LA MWEZI HUU WA JUNE NIMWEZI WA UPAKO WA TAI KUTOKA 19:4,pokea upako wa Tai kwa jina la Yesu kristo Uwej...
07/06/2026

NENO LA KINABII LA MWEZI HUU WA JUNE NIMWEZI WA UPAKO WA TAI
KUTOKA 19:4,
pokea upako wa Tai kwa jina la Yesu kristo
Uwejuu k**a Tai mwezi huu kwa jina la Yesu kristo
mwezi huu Mungu amekuvuta kwake

Katika Maisha yako unaitaji kutumia akili sana uliyo pewa na Mungu ndipo utafanikiwa.
24/05/2026

Katika Maisha yako unaitaji kutumia akili sana uliyo pewa na Mungu ndipo utafanikiwa.

03/05/2026

NENO LA KINABII LA MWEZI HUU WA TANO NIMWEZI WA MAZIWA NA ASALI
KUTOKA 13:5

HAYUMO TENA KABURINI AMEFUFUKA SIKU YA TATU YOHANA 20:1-23.Pokea nguvu ya ufufuo juu afya yako Biashara yako, uchumi wak...
05/04/2026

HAYUMO TENA KABURINI AMEFUFUKA SIKU YA TATU
YOHANA 20:1-23.
Pokea nguvu ya ufufuo juu afya yako Biashara yako, uchumi wako katika uzao wako kwajina la Yesu kristo.

Mama huyu kulia akiwa na binti yake akitoa shuhuda  ya binti yake aliye kuwa mjamzito kwa muda wa miezi 10 bila kujifung...
29/03/2026

Mama huyu kulia akiwa na binti yake akitoa shuhuda ya binti yake aliye kuwa mjamzito kwa muda wa miezi 10 bila kujifungua pia alikuwa akiishiwa Damu mara kwa mara alipo leta picha ya binti yake madhabahuni na mtu wa Mungu Nabii ELIYA kilagula alipo muombe tatizo la Damu likaisha akajifungua salama mtoto wa kiume leo amekuwa ndiye huyo.

Address

Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255745108319

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jesus Patmos Mission International. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Jesus Patmos Mission International.:

Shortcuts

Share