01/07/2026
*📢 SHALOM! SHALOM! WATU WA MUNGU!*
Je, uko tayari kwa ajili ya *kubadilishwa (Transformation)* ili uwe na *ufanisi (Effectiveness)* katika maisha yako ya Kikristo?
Habari njema kwako! Kuanzia *Alhamisi tarehe 02 Julai hadi Jumapili tarehe 05 Julai 2026*' tunakukaribisha kwenye semina ya kipekee yenye mada:
*"Transformation for Effectiveness (TFE)"*
*(Mabadiliko kwa Ajili ya Ufanisi)*
Katika semina hii tutajifunza jinsi Mungu anavyotubadilisha:-
- *Sojourners into Missionaries* – Kutoka kuwa wapitaji hadi kuwa wamisionari.-
- Visitors into Priests – Kutoka kuwa wageni hadi kuwa makuhani
- *Fans into Disciples* – Kutoka kuwa mashabiki hadi kuwa wanafunzi wa kweli wa Kristo.
🎤 *"Mnenaji: Rev. Samuel Park*
📍 *Mahali: Christ Freedom Church, Nsumba Street, Kiseke, Ilemela – Mwanza.*
Usikose nafasi hii ya kujifunza, kukua kiroho, na kupokea kile ambacho Mungu amekuandalia. Mwalike rafiki, ndugu, jirani au mwanafamilia, na njoo tushiriki pamoja katika uwepo wa Mungu.
*Karibu sana*