Mungu ni mwema

Mungu ni mwema Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mungu ni mwema, Religious organisation, Kona Ya Bwiru, Mwanza.

UNAPOVUKA UNAELEKEA WAPI ?Mungu ni yeye yule Jana , leo, kesho, na hata milele habadiriki ongera kwa kumaliza mwaka 2020...
03/01/2021

UNAPOVUKA UNAELEKEA WAPI ?
Mungu ni yeye yule Jana , leo, kesho, na hata milele habadiriki ongera kwa kumaliza mwaka 2020 Salama uenda Mungu ametuvumilia kwa mengi na pia ongera sana kwa kuingia 2021 kwa Neema ya Mungu tumeuona mkono Wa Bwana.
Swali langu ni kuwa ndiyo umevuka lakini unakoelekea unakujua? Tatizo siyo kuwa umevukaka unafurahi ndiyo Mungu katuvusha hivyo ulivyo shukru Mungu lkn wapi unaelekea umebeba nini matunda ya mwaka 2021 jee zile Tania za mwaka 2020 ulizokuwa nazo umeziacha ? Nani alikuongoza maisha yako mwaka mzima 2020 jee huyo aliyekuongoza alikufikisha mwisho Salama ? Umejifunza nini 2020 unatafakari vipi 2021 k**a mwaka 2020 wakati unaanza ulijua yaliyotokea na kuwa sababu ya wengine kutoweka kupoteza uhai wao yangetokea jee 2021 umejipangaje? Umemkabidhi nani safari yako? Na Mungu anataka nini kwako tafakari fikiri Fanya maamuzi chukua hatua mwendee Yesu akuvushe tena uimalike Zab. 23 :1-6

Sifa za Bwana Mungu zivume
09/09/2020

Sifa za Bwana Mungu zivume

Malaika akamwuliza Mariamu mama unalilia nini? Mariamu akamwambia wamemwondoa Bwana Wangu nami namtafuta... Usimtafute a...
12/04/2020

Malaika akamwuliza Mariamu mama unalilia nini? Mariamu akamwambia wamemwondoa Bwana Wangu nami namtafuta... Usimtafute aliye hai katika wafu hayupo amefufuka

07/01/2020
The community is Holly Spiritual condition because the God's peace cause us to sitting walking spending and exchanging i...
07/01/2020

The community is Holly Spiritual condition because the God's peace cause us to sitting walking spending and exchanging idea together without any problems in Jesus Christ whole are equal

06/04/2019

MUNGU TUPE MOYO WA TOBA

Use makini sana ukatubu na kumwamini Mwana Wa Mungu
19/03/2019

Use makini sana ukatubu na kumwamini Mwana Wa Mungu

KUWA Makini MTU Wa Mungu
19/03/2019

KUWA Makini MTU Wa Mungu

Kuna nguvu katika maombi unapoomba sawasawa na mapenzi ya Mungu na kwa Imani kwa kulitumia Neno LA Mungu majibu lazima y...
15/02/2019

Kuna nguvu katika maombi unapoomba sawasawa na mapenzi ya Mungu na kwa Imani kwa kulitumia Neno LA Mungu majibu lazima yaje hata k**a yakichelewa yatafika tuu

10/12/2018

Address

Kona Ya Bwiru
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mungu ni mwema posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share