Africa Inland Church Tanzania - AICT

Africa Inland Church Tanzania - AICT Kanisa linalothubutu katika kutimiza utume kamili kwa utukufu wa Mungu (a daring church that carries out a holistic mission to the Glory of God).
(1)

Dira (Vision) Kanisa linalothubutu katika kutimiza utume kamili kwa utukufu wa Mungu (a daring church that carries out a holistic mission to the Glory of God)

Kaulimbiu (Slogan) Tuthubutu (tudiriki), tujitoe kwa utukufu wa Mungu (let us dare, commit ourselves to the Glory of God)

Dhima (Mission) Kumuhudumia Mwanadamu kikamilifu kwa utukufu wa Mungu (to serve humanity holistically to the Glory

of God)

Amali (Values) Umoja - Unity Huduma kwa jamii - Ministering to community Imani yetu katika Biblia – A Bible based Faith Uadilifu - Honesty Uwazi - Transparency

Vijana wote tunakutana Tabora kwenye Kongamano la 12 la vijana Kitaifa
20/06/2026

Vijana wote tunakutana Tabora kwenye Kongamano la 12 la vijana Kitaifa

28/05/2026

ya ‎Ujenzi wa Ofisi kuu za Kanisa, Kazi inayoendelea hivi sasa ni Skimming katika floor ya chini na Upakaji wa Rangi Kuta zote za nje ya Jengo, Uongozi wa Kanisa tunawashukuru watu wote mnaoendelea kuchangia kazi hii njema Mungu awabariki sana kazi yenu sio bure.
‎Karibu uchangie kazi hii kupitia CRDB akaunti no. 0150287490000
‎Jina .AICT UCHUMI MIPANGO NA MAENDELEO

‎Lipa namba(Vodacom)
‎5515321
‎Jina
‎AICT UCHUMI MIPANGO NA MAENDELEO

22/05/2026

Askofu Mkuu wa Africa Inland Church Tanzania - AICT M***a M. Magwesela ameongoza Ibada ya kuweka Wakakfu Gari la Uaskofu aina ya Toyota Land cruiser Prado TX litakalo tumika katika Dayosisi ya Mara na Ukerewe, Ibada hii imefanyika Mkoani Dodoma ambapo Maaskofu wetu wa Dayosisi wamekutana kwa ajili faragha na kuhudhuliwa na viongozi mbalimbali wa AICT Jimbo la Dodoma,
Askofu Peterphales Kisena ambae ni Askofu wa AICT Dayosisi ya Mara na Ukerewe ametoa shukrani kwa Wakristo pamoja na Wadau mbali mbali walioshiriki kuchangia fedha kwa ajili ya ununuzi wa Gari hili la Uaskofu.

Askofu Mkuu wa Africa Inland Church Tanzania - AICT M***a M. Magwesela ameongoza Ibada ya kuweka Wakakfu Gari la Uaskofu...
22/05/2026

Askofu Mkuu wa Africa Inland Church Tanzania - AICT M***a M. Magwesela ameongoza Ibada ya kuweka Wakakfu Gari la Uaskofu aina ya Toyota Land cruiser Prado TX litakalo tumika katika Dayosisi ya Mara na Ukerewe, Ibada hii imefanyika Mkoani Dodoma ambapo Maaskofu wetu wa Dayosisi wamekutana kwa ajili faragha na kuhudhuliwa na viongozi mbalimbali wa AICT Jimbo la Dodoma,
Askofu Peterphales Kisena ambae ni Askofu wa AICT Dayosisi ya Mara na Ukerewe ametoa shukrani kwa Wakristo pamoja na Wadau mbali mbali walioshiriki kuchangia fedha kwa ajili ya ununuzi wa Gari hili la Uaskofu.

Mwana Kondoo ameshinda.....
05/04/2026

Mwana Kondoo ameshinda.....

18/03/2026

Maendeleo ya ujenzi wa Ofisi kuu.

 :SINODI YA 32 AICT DAYOSISI YA MWANZA   Imefunguliwa na Askofu Mkuu na Askofu wa Dayosisi ya Mwanza M***a M. Magwesela,...
26/02/2026

:SINODI YA 32 AICT DAYOSISI YA MWANZA
Imefunguliwa na Askofu Mkuu na Askofu wa Dayosisi ya Mwanza
M***a M. Magwesela,
Neno kuu; KUBALI KUTUMIWA NA BWANA 1Mambo ya Nyakati 19:13
‎Kikao hiki cha siku mbili kwa siku ya kwanza kinafanyika katika Kituo cha Mikutano Bwiru (Bwiru Conference Center) na siku ya pili kitafanyika katika Kanisa Kuu Makongoro ambapo wajumbe watajadili ajenda mbalimbali zikiwemo...
1. ‎Kusoma na kuthibitisha Muhtasari kikao kilichopita
2. ‎Taarifa ya Utekelezaji
3. ‎Taarifa ya Mwaka ya Dayosisi 2025
4. ‎Ujenzi wa Ofisi kuu AICT
5. ‎Taarifa ya Fedha
6. ‎Makadilio ya Mapato na Matumizi 2026
7. ‎Maandalizi ya Dayosisi Teule
‎Tuendelee kuombea kikao hiki cha juu kabisa kwa ngazi ya Dayosisi ili Mungu ahusike katika Majadiliano, Mipango, Mikakati na Maadhimio yote.

26/01/2026

‎Tunapenda kuutangazia umma kwamba Kituo chetu cha Mikutano Bwiru ( Bwiru Conference Center BCC ) kilichopo Bwiru Jijini Mwanza Kimeanza kutoa huduma.
‎Huduma zitolewazo ni;
‎ *Kumbi kwa ajili ya....
‎ -Sherehe mbali mbali
‎ -Semina/ Warsha
‎ -Mikutano ya Bodi nk.
‎ *Vyumba vizuri vya kulala
‎ *Fukwe nzuri kwa ajili ya..
‎ -Mapumziko
‎ -Kupiga picha nk.
‎Bwiru Conference Center ina mazingira tulivu sana.
‎. +255798035129 kwa maelezo zaidi.

16/01/2026

Tunamshukuru Mungu kazi ya ujenzi inaendelea vizuri, Kazi ya upigaji lipu ( plastering ) sehemu ya nyuma ya jengo inafanyika kwa kasi ya kuridhisha na ujenzi wa majukwaa ya kujengea unaendelea vizuri katika maeneo mengine ya jengo,
Uongozi wa Kanisa tunawashukuru Wakristo wote wa Africa Inland Church Tanzania pamoja na wadau mbali mbali kwa michango yenu mnayoendelea kutoa kwa ajili ya kukamilisha mradi huu, Ni maombi yetu kwamba Mungu aendelee kuchochea moyo huu wa utoaji na ainue watu wengi zaidi kuchangia mradi huu kwa ajili ya Utukufu wa Jina lake.

09/01/2026

Salamu za mwaka mpya 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa Africa Inland Church Tanzania.
Askofu M***a M. Magwesela

Address

P. O Box 905 Makongoro Street, Plot No 66
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Africa Inland Church Tanzania - AICT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share