Viwawa Parokia ya Bugando

Viwawa Parokia ya Bugando VIJANA WAKATOLIKI WAFANYAKAZI (VIWAWA)

  Maria Mama wa Upendo wa Mungu, utusaidie kutuimarisha katika kutekeleza mapenzi ya Mungu kwa kufanya kile ambacho Yesu...
15/08/2022

Maria Mama wa Upendo wa Mungu, utusaidie kutuimarisha katika kutekeleza mapenzi ya Mungu kwa kufanya kile ambacho Yesu atasema, kwani amejitwika mateso na kuchukua machungu yetu na kutuongoza, ili kwa njia ya Msalaba, tuweze kufikia furaha ya Ufufuko. Amina.

Tunakimbilia ulinzi wako mzazi Mtakatifu wa Mungu. Usitunyime tukiomba katika shida zetu, tuopoe siku zote kila tuingiapo hatarini, Ee Bikira Mtukufu na mwenye baraka. Amina.

Viwawa
Catholic.net
Viwawa Parokia ya Bugando
Team Invention
I Love Jesus, by iLoveJesusonline.com

MWANZA MWANZA MWANZ.....!!!Ni furaha kubwa kwa Jimbo kuu la Mwanza.Askofu Renatus Nkwande atangazwa rasmi kuwa ASKOFU MK...
12/02/2019

MWANZA MWANZA MWANZ.....!!!

Ni furaha kubwa kwa Jimbo kuu la Mwanza.
Askofu Renatus Nkwande atangazwa rasmi kuwa ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU LA MWANZA kwa kurithi kiti cha askofu YUDA THADEUS RUWAICHI ambaye kwa sasa ni msaidizi wa Kadinari Pengo Jimbo kuu la Dar es salaam.

Askofu Nkwande alikuwa Askofu mkuu katika Jimbo katoliki la Bunda na pia alikuwa msimamizi wa jimbo kuu la Mwanza kwa awamu mbili.

Ni furaha kwa wanamwanza kumpata mchungaji......KARIBU ASKOFU NKWANDE - KARIBU JIMBO KUU LA MWANZA

01/09/2018

Tunapo SALI vizuri, tunaungana kikamilifu kabisa na MUNGU, aliye kiini cha furaha ya kweli.!

-tuongozwe na furaha ya kweli itokayo kwa Mungu.

Tumeanza mwezi mpya, toa shukrani kwa kusema,

"MUNGU NAKUPENDA"

HIJAAAAAAAAAAAAA!!! PITIA RATIBA NZIMA YA TUKIO LETU LA HIJA TAREHE 25/08/2018 PIA KUNA SALA MAALUMU YA KUOMBEA HIJA YET...
19/08/2018

HIJAAAAAAAAAAAAA!!!
PITIA RATIBA NZIMA YA TUKIO LETU LA HIJA TAREHE 25/08/2018
PIA KUNA SALA MAALUMU YA KUOMBEA HIJA YETU YA VIJANA, TUSHIRIKI PAMOJA KATIKA KUISALI ILI UKUU WA MUNGU UZIHIRIKE MACHONI MWA WATU WAKE.

"Heri Walio Maskini wa Roho, Kwa Maana Ufalme wa Mbinguni ni Wao".

VIWAWA MAPENDOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!

HIJAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!VIJANA WAKATOLIKI WAFANYAKAZI (VIWAWA) PAROKIA YA BUGANDO JIMBO KUU LA MWANZA...
19/08/2018

HIJAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!
VIJANA WAKATOLIKI WAFANYAKAZI (VIWAWA) PAROKIA YA BUGANDO JIMBO KUU LA MWANZA.
tunapenda kuwaarika vijana na waumini wote kushiriki katika HIJA MAALUMU YA VIJANA itakayofanyika siku ya JUMAMOSI tarehe 25/08/2018. HIJA hii itafunguliwa kwa MISA TAKATIFU itakayofanyika katika Parokia ya bugando saa 12:45 baada ya Misa hiyo yatafata matembezi yatakayoambatana na Kusali Rozari, Kuimba Nyimbo pamoja na Sala Mbalimbali.
TUTAKUWA NA VITUO VIFUATAVYO:-
NYAKAHOJA - MASIFU YA ASUBUHI NA MAOMBI MAALUMU
KIRUMBA - MAABUDU YA EKARISTI TAKATIFU
IBANDA - SEMINA YA TAAMULI (SALA YA UKIMYA), MAUNGAMO NA KUHITIMISHA KWA MISA TAKATIFU.

"Heri Walio Masikini wa Roho, Kwa Maana Ufalme wa Mbinguni ni wao"

WOTE MNAKARIBISHWA KUJICHOTEA NEEMA.

VIWAWA parokia ya Bugando...!! Tukiwa kwenye ubora wetu.....mungu zidi kuubariki utume wetu na kutuzidishia Baraka zako ...
14/11/2016

VIWAWA parokia ya Bugando...!! Tukiwa kwenye ubora wetu.....mungu zidi kuubariki utume wetu na kutuzidishia Baraka zako tele

14/11/2016
Ni mwezi wa MariaMwezi tuupendaoN mwezi wa MariaTusali Rozari
01/10/2016

Ni mwezi wa Maria
Mwezi tuupendao
N mwezi wa Maria
Tusali Rozari

Neno la Bwana ni rungu silaha ya mapambanoNikapambane na mwovu nipeni rungu langu
28/09/2016

Neno la Bwana ni rungu silaha ya mapambano
Nikapambane na mwovu nipeni rungu langu

28/03/2016

Happy Easter !
Mungu akubariki sana, tunakutakia Pasaka njema wewe na jamaa yako yote.
"Bwana akufanye kuwa chombo cha amani.!"

14/01/2016

kristu wapendwa

Address

Nyamagana Mwanza
Mwanza

Telephone

0759742836

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Viwawa Parokia ya Bugando posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share