Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania

Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania Lengo ni kumtumikia Mungu bila kujari madhebu yetu k**a Vijana. Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu, Maana Yeye atawakanyaga watesi wetu. Zaburi 60:12

Umoja Wa Vijana wa kikristo Tanzania ulianzishwa mwaka 2009 mwezi septemba tarehe 17 kwa Lengo la kuunganisha vijana wa wote kikristo TANZANIA kwa hiyari yao ili tuweze kumtumikia MUNGU katika hali zote bila kujari udhehebu wetu. Shabaha ikiwa kuhubiri habari ya ufalme wa MUNGU katika kila eneo la TANZANIA kwa njia ya Uimbaji,uinjilisti,uwalimu,unabii,uchungaji na utume ikiwa ni kwa kuandaa mikutano ya injili,semina za ndani na nje,makongamano ya kusifu,kuabudu na maombi. Pia k**a vijana wa Kikristo tunapenda kutembeleana, kushauriana,kufundishana,kusaidiana,kubadilishana mawazo,ujuzi na ufahamu kuhusu maisha yetu ili tupate kufanikiwa kiroho na mwili. Kusaidiana katika changamoto za ujana hasa katika Uchumi,Mahusiano,Ndoa,Huduma,Elimu,jamii na Shughuli zinazo gusa maisha yetu ya kila siku na jamii inayo tuzunguka. NI HAJA YETU KUONA VIJANA TUNAMTUKUZA MUNGU KWA KILA JAMBO NA KITU AMBACHO MUNGU AMETUPATIA.

Address

NYAKATO
Mwanza
33121

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania:

Shortcuts

Share