26/02/2022
KUWA SHAHIDI..!
Mathayo 10:32-33
[32]Basi, kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, nami nitamkiri mbele za Baba yangu aliye mbinguni.
[33]Bali mtu ye yote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.
• Moja Ya Kanuni Muhimu Ambayo Unapaswa Kuikumbuka Katika Maisha Yako Ya Wokovu, NI KANUNI YA KUMTAMBULISHA BWANA YESU!
• Kanuni Hii Ni Muhimu Mno Na Haipaswi K*tekelezwa Kwenye Baadhi Ya Matukio Ya Maisha Yako, Bali Ni Kanuni Inayopaswa K*tekelezwa Kwenye Kila Eneo La Maisha Yako Bila Kujali Upo Kwenye Mazingira Gani..!
• Katika Maisha Yangu Ya Wokovu Nimejifunza Jambo Hili; USITARAJIE KUONA MUNGU AKIDHIHIRIKA KWENYE MAISHA YAKO ZAIDI YA KIWANGO CHAKO CHA KUMDHIHIRISHA KWENYE MAISHA YAKO YA KILA SIKU..!
• Usitarajie Kuona YESU Akijitukuza Katika Maisha Yako Ilihali Umekuwa MTU WA KUONA HAYA HATA KUSEMA KUWA UMEOKOKA!!
• Unapaswa Kuhakikisha Maisha Yako Yanamtambulisha Bwana Yesu Kwa K*mkiri, Mwenendo N.k Bila K*muonea Haya Yeye Aliyekufia Msalabani Bila Aibu Yoyote!! YEYE ALIIDHARAU AIBU ILI WEWE UOKOLEWE...!
• Bwana Yesu Atadhihirika Kwenye Maisha Yako Na Kwenye Kila Ambacho Utautia Mkono Wako Kukifanya!!
- USIMUWEKE YESU MFUKONI!!!
- MTAMBULISHE BWANA YESU!!
- KUWA SHAHIDI!
# TAFAKARI KWA KINA, AMUA KWA BUSARA #
- Ahsante Kwa Kunielewa -