Man Of God Mwl Don Bosco Sunday

Man Of God Mwl Don Bosco Sunday Prophetic Pastor Son Of Major 1

02/01/2025

SHALOM SHALOM
RATIBA ZA IBADA HUDUMA YA KINABII APOSTOLIC MANDATE INTERNATIONAL MINISTRIES KIGOMA MJINI 🇹🇿 2025 MWAKA WA SHUHUDA NA MAONGEZEKO 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 CHINI YA MWONAJI NABII & MTUME DANIEL JEREMIAH NA NABII & MCHUNGAJI GLORY DANIEL

JUMANNE: IBADA YA MAFUNDISHO NA NENO LA MUNGU.
SAA 10:30JIONI- 12JIONI

ALHAMISI: IBADA YA MAOMBI NA MAOMBEZI NA UNABII
SAA 10:30JIONI -12JIONI

IJUMAA: IBADA YA USHAURI/MAOMBI/UNABII/KUMUONA NABII MTU MMOJA MMOJA
SAA 5 ASUBUHI -11JIONI

JUMAMOSI:SIKU YA MAOMBI NA KUFUNGA
SAA 10:30 JIONI KANISANI

JUMAPILI: IBADA YA KINABII INAONGOZWA NA NABII
SAA 4:00 ASUBUHI -SAA 6 MCHANA

Mawasiliano kufika kanisani +255697982011 Pastor GLORY DANIEL

NB: KUMBUKA KUMUONA NABII NI BURE KABISA LETA WAGONJWA KWA YESU WATAPONYWA.

© SEER DANIEL JEREMIAH
+255697982011

Wanafunzi wa YESU KRISTO walimkimbia BWANA alipok**atwa, lakini MUNGU alimtuma Simon Mkirene kumsaidia msalaba. Kuna wat...
16/03/2023

Wanafunzi wa YESU KRISTO walimkimbia BWANA alipok**atwa, lakini MUNGU alimtuma Simon Mkirene kumsaidia msalaba. Kuna watu nyuma yako, wengine hata huwajui lakini wanaomba na kuumia kwa ajili yako, MUNGU ndio aliowaweka na hao ndio watu sahihi kwako.

K**a mwanadamu kuna nyakati unakuwa umechoka lakini usifikiri upo peke yako, MUNGU atakutumia watu sahihi. Kosa letu kubwa ni kewekeza kwa watu tunaoona ni msaada kumbe ndio wamebeba uharibifu. Kuna watu ni akiba katika nyakati ngumu kwenye maisha yetu, unaweza usiwajue na hupaswi kuwajua lakini tambua haupo peke yako, MUNGU ana watu sahihi kwa ajili yako.

Kuwa mwenye hekima, usimkimbilie kila mtu maana si kila mtu ni sahihi kwenye maisha yako. Chanzo cha uharibifu ni kuzungukwa na watu wasio sahihi kwenye maisha yetu maana hao hawataki mafanikio yako, na hauwezi kufanikiwa k**a umezungukwa na watu wakamilifu.

Kuna hali MUNGU anaweza kuruhusu kwako ili kukuonyesha aina ya watu waliokuzunguka. Kuna watu wamekuzunguka kwa sababu ya mali au kwa ajili ya umaarufu wako. Mali na umaarufu wako vikiondolewa ndipo utaona k**a watakuheshimu tena au la. Tambua kila kinachotokea ni kwa ajili ya hatima zetu bora hapo baadae.
Usilalamike, MUNGU anakufundisha kwa ajili ya kuwa imara kesho.
Rafiki mkamilifu hayupo katika maisha yako kukusaidia, bali kukusahihisha. Yeye huja katika maisha yako kukuonyesha hupaswi kuwa hapo maana kutokana na vigezo vyake hustahili maana hujafikia hicho kiwango.

Hivyo maombi yetu maalum kwa MUNGU ni kupata watu sahihi. Mtu mkamilifu hana furaha kukuona ukifanikiwa kwa sababu anaona yeye ndiye anayestahili kuwa ulipo wewe na si wewe. Ila mtu sahihi ana furaha kukuona unafanikiwa.



Mwl Don Bosco Sunday

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Man Of God Mwl Don Bosco Sunday posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share