EAGT Bethel Kisesa

EAGT Bethel Kisesa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from EAGT Bethel Kisesa, Religious Center, Kisesa, Mwanza.

Leo tumekua na hafla fupi ya kukabidhibiwa gari la jimbo Mchungaji wetu, ambae pia ni Askofu wa jimbo la magu,Mgeni rasm...
04/08/2026

Leo tumekua na hafla fupi ya kukabidhibiwa gari la jimbo Mchungaji wetu, ambae pia ni Askofu wa jimbo la magu,
Mgeni rasmi wa tukio hili kubwa alikua ni Mkuu wa wilaya ya Magu, Mheshimiwa Jubilate Lawuo, na kutoka ofisi ya Kanda Mgeni maalumu alikua ni Askofu Gecha pamoja na kamati yake, pia tumekua na wageni wengine Maaskofu kutoka majimbo mbalimbali ya mkoa wa mwanza pamoja na wachungaji wa jimbo zima na washirika. Tunamshukuru sana Mungu kwa siku hii ya baraka.

Kesho watu wote mnakaribishwa sana kwenye ibada ya shukrani.🙏
11/07/2026

Kesho watu wote mnakaribishwa sana kwenye ibada ya shukrani.🙏

Bwana YESU asifiwe mtu wa MUNGU, tunakukaribisha sana kwenye ibada hii kubwa ya shukrani ya kumaliza ujenzi kwa awamu ya...
10/07/2026

Bwana YESU asifiwe mtu wa MUNGU, tunakukaribisha sana kwenye ibada hii kubwa ya shukrani ya kumaliza ujenzi kwa awamu ya kwanza. Upatapo tangazo hili bonyeza hapo chini palipoandikwa "share" ili na marafiki wengine tangazo hili liwafikie.

2026Ni_mwaka_wa_kuzaa_kuongezeka_na_kustawishwa_na_Bwana.
05/01/2026

2026
Ni_mwaka_wa_kuzaa_kuongezeka_na_kustawishwa_na_Bwana.

Address

Kisesa
Mwanza

Telephone

+255753538455

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT Bethel Kisesa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share