11/02/2023
Usajili dirisha la March umeanza, karibu ili upate kujiunga nasi kwa ngazi ya cheti na diploma kwa masomo ya:
Maendeleo ya jamii
Usimamizi wa biashara
Thiolojia
Pia tuna kozi za muda mfupi k**a computer, research and development, ujasiliamali na nyingine nyingi. Karibu.
Wasiliana nasi kwa namba 0653419559 au 0752473434 au tembelea tovuti yetu www.wesleycollegetz.com