CCI G.F.E lntenational Church Mwanza

CCI G.F.E lntenational Church Mwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from CCI G.F.E lntenational Church Mwanza, Christian church, Mwanza.

G.F.E INTERNATIONAL CHURCHKARIBUNI TUABUDU PAMOJA....
23/10/2025

G.F.E INTERNATIONAL CHURCH
KARIBUNI TUABUDU PAMOJA....

S E M I N A   Y A   P A S A K.Tunapenda kuwakaribisha watu wote kwenye Semina ya Pasaka itakuwa ibada ya nguvu na ya bar...
24/03/2024

S E M I N A Y A P A S A K.
Tunapenda kuwakaribisha watu wote kwenye Semina ya Pasaka itakuwa ibada ya nguvu na ya baraka sana Mchungaji kiongozi amekuandalia mtumishi wa Mungu ambaye atakuwa baraka kwako .
Karibu sana na utakuwa unabarikiwa......

N G U V U   Y A   M U N G U.Mungu anapendweza na moyo wa shukrani.
18/01/2024

N G U V U Y A M U N G U.
Mungu anapendweza na moyo wa shukrani.

M w a k a.   2 0 2 4 K W E N D A   V I W A N G O    V I N G I N E.Ni sawa kuumia na ni sawa kutoa machozi ni sawa kusiki...
03/01/2024

M w a k a. 2 0 2 4
K W E N D A V I W A N G O V I N G I N E.
Ni sawa kuumia na ni sawa kutoa machozi ni sawa kusikia uchungu ni sawa kabisa kupata maumivu,sababu ni sehemu ya kuitafuta amani na kutoa ukali na ukakasi wa nyakati fulani ngumu lakini pia tunapaswa kushukuru Mungu hata katikati ya machozi,katikati ya mateso makali bado Mungu anataka tumshukuru na tumrudishie sifa na utukufu yeye,amini wewe ni mshindi amini wewe una Neema ya Mungu,amini Mungu amekupa kibali wewe hata uko hai,hatupaswi kulaumu kulalamika au kuona unayopitia sio sawa kwako no,Muda huu na lisaa hili Mungu anakwenda kukupa nafasi nyingine na sababu majira na wakati wake ni sahihi,Mungu akutunze Mungu akulinde lakini kumbuka Mungu ANATUPENDA SOTE.
Happy New Year.2024

CROSS OVER NIGHT NEW BEGGINING.Tunawakaribisha sana kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya.Utakuwa mkesha wa nguvu.
28/12/2023

CROSS OVER NIGHT NEW BEGGINING.
Tunawakaribisha sana kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya.
Utakuwa mkesha wa nguvu.

T h e    W o r s h i p    O f    L o v e.❤️🙏Tunamshukuru Mungu Tamasha la kusifu na Kuabudu tulimaliza salama.Tunatoa sh...
27/12/2023

T h e W o r s h i p O f L o v e.❤️🙏
Tunamshukuru Mungu Tamasha la kusifu na Kuabudu tulimaliza salama.
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa watu wote ambao walikubari mwaliko wetu na kuja ktk Tamasha hili. Tunaamini ulipokea kile Mungu alikuwa amekuandalia siku hiyo ya THE NIGHT OF WORSHIP OF LOVE ..
Mungu awabariki wote .... Ameni🙏

S H A L O M.!    S H A L O M.!Tunakukaribisha sana kwenye mkesha wa Christmas na Mwaka Mpya njoo tumwabudu Mungu aliye H...
18/12/2023

S H A L O M.! S H A L O M.!

Tunakukaribisha sana kwenye mkesha wa Christmas na Mwaka Mpya njoo tumwabudu Mungu aliye Hai ambaye ameturinda Toka mwezi wa kwanza (1) Mpaka mwezi huu wa kumi na mbili (12) Itakuwa IBADA YA UPENDO tunawaarika watu wote.

IJUE SIRI YA USHINDI ULIYONAYO .✓Beba ushindi wako na watu walioko nyuma yako washinde.✓Mungu ameweka kitu kikubwa na Ch...
23/11/2023

IJUE SIRI YA USHINDI ULIYONAYO .
✓Beba ushindi wako na watu walioko nyuma yako washinde.
✓Mungu ameweka kitu kikubwa na Cha Thamani sana ndani yako.
✓Mungu amekuita upande gani je Hiyo nafasi unatenda sawasawa na vile Mungu anataka ufanye.
✓Nafasi uliyopo fanya kwa upendo na ufanye k**a hutafanya tena maana Mungu anakusudi na wewe.
✓Mungu anakusudi na wewe umtumikie.
A M E N I......♥️🙏

Siku ya Jumapili ilikuwa Ibada ya baraka sana...Mungu awabariki wote...! Acha Mungu akakutane na haja za kila mmoja wetu...
16/10/2023

Siku ya Jumapili ilikuwa Ibada ya baraka sana...
Mungu awabariki wote...! Acha Mungu akakutane na haja za kila mmoja wetu na kafanikishe kwa jila la Yesu......🙏🙏🙏🙏

Kheri ya siku yako ya Kuzaliwa Baba yetu uishi maisha malefu Sisi watoto wako tunakupenda ❤️🙏
14/10/2023

Kheri ya siku yako ya Kuzaliwa Baba yetu uishi maisha malefu Sisi watoto wako tunakupenda ❤️🙏

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CCI G.F.E lntenational Church Mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share