Hosanna Int'l Community Church

Welcome to worship with us every Sunday.I'd love to see you!!Karibu uabudu pamoja nasi kila siku ya Jumapili.Nitafurahi ...
02/09/2025

Welcome to worship with us every Sunday.
I'd love to see you!!

Karibu uabudu pamoja nasi kila siku ya Jumapili.
Nitafurahi kukuona!!

Loc: Nyangulugulu - Mahina

Shalom...Tunapenda kuwakaribisha watu wote leo kwenye Ibada maalumu ya KUMPA MUNGU SHUKURANI kwa matendo makubwa aliyotu...
25/05/2025

Shalom...
Tunapenda kuwakaribisha watu wote leo kwenye Ibada maalumu ya KUMPA MUNGU SHUKURANI kwa matendo makubwa aliyotutendea kwa takribani miaka 5 sasa.
Ungana nasi kusherehekea jambo hili linalompa Mungu utukufu.

Shalom!Tuna kila sababu za Kumshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyoyafanya kwetu. Kwa sababu hii Kanisa la Hosana, tumea...
09/05/2025

Shalom!
Tuna kila sababu za Kumshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyoyafanya kwetu.
Kwa sababu hii Kanisa la Hosana, tumeamua kumuandalia Bwana ibada maalumu ya kumshukuru na kumtukuza kwa kutuwezesha hadi kufika kipindi hiki tukiwa tunaadhimisha miaka mitano (5) ya huduma ya Hosana tangu kuasisiwa kwake.
Tunawakaribisha watu wote katika Ibada hii itakayoambatana na tukio la sherehe ikiwa k**a ishara ya kufurahia pamoja jambo hili ambalo Bwana ametutendea k**a kanisa.
Mungu wa Mbinguni awabariki sana.
_________________________
Shalom!
We have every reason to thank God for the great things He has done for us.
For this reason, Hosanna Church, we have decided to organize a special service to thank and glorify the Lord for enabling us to reach this period as we celebrate five (5) years of Hosanna's ministry since its founding. We invite everyone to this service that will be accompanied by a festive event as a sign of rejoicing together for what the Lord has done for us as a church.
May the God of Heaven bless you abundantly.

Ahsante kwa kuabudu pamoja nasi leo 16/03/2025.Karibu tena kwenye Ibada zetuJumanne - WAMAMA - 10:⁰⁰ - 12:⁰⁰ JioniJumata...
16/03/2025

Ahsante kwa kuabudu pamoja nasi leo 16/03/2025.
Karibu tena kwenye Ibada zetu
Jumanne - WAMAMA - 10:⁰⁰ - 12:⁰⁰ Jioni
Jumatano - MAFUNDISHO - 10:⁰⁰ - 12:⁰⁰ Jioni
Jumapili - 3:⁰⁰ Asb - 6:³⁰ Mchana

RATIBA YETU KWA SIKU YA JUMAPILI IPO K**A KAWAIDAMafundisho ya AsubuhiSaa 3:00 Asubuhi - 4:00 Asubuhi Ibada kuu:4:00 Asu...
14/03/2025

RATIBA YETU KWA SIKU YA JUMAPILI IPO K**A KAWAIDA
Mafundisho ya Asubuhi
Saa 3:00 Asubuhi - 4:00 Asubuhi

Ibada kuu:
4:00 Asubuhi - 6:30 Mchana

KARIBU TUMTUKUZE MUNGU KWA MATENDO YAKE MAKUU KWETU.

Zaburi 61:1 - 2 (SUV)¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¹ Ee Mungu, ukisikie kilio changu, Uyasikilize maombi yangu.² Toka mwisho wa nchi nitaku...
27/02/2025

Zaburi 61:1 - 2 (SUV)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Ee Mungu, ukisikie kilio changu, Uyasikilize maombi yangu.
² Toka mwisho wa nchi nitakulilia nikizimia moyo, Uniongoze juu ya mwamba nisioweza kuupanda.

MBELE TUNAENDELEA!Tupo katikati siku ya 36 katika siku 72. Tukaze kumpenda BWANA 💪🏽- ZABURI 91:14
24/02/2025

MBELE TUNAENDELEA!
Tupo katikati siku ya 36 katika siku 72. Tukaze kumpenda BWANA 💪🏽

- ZABURI 91:14

16/02/2025
MAOMBI SIKU 72SIKU YA 15TUNAIANZA WIKI KWA UJASIRIHESABU 6:24 - 26 (SUV)BWANA akubarikie, na kukulinda;BWANA akuangazie ...
03/02/2025

MAOMBI SIKU 72
SIKU YA 15

TUNAIANZA WIKI KWA UJASIRI

HESABU 6:24 - 26 (SUV)
BWANA akubarikie, na kukulinda;
BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili;
BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani.

Amen!

Kila siku kuanzia leo Jumatatu - Ijumaa kuanzia saa 2:00 Usiku hadi saa 3:00 Usiku katika ukumbi wa kanisa la Hosanna Gospel Church - Nyangulugulu, Mahina tutakuwa na maombi ya pamoja kwa ajili ya kuhitimisha kwa ushindi.

KARIBU NA MUNGU AKUBARIKI

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hosanna Int'l Community Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Hosanna Int'l Community Church:

Share