UHURU

UHURU Uhuru wa mawazo fikra.kira mtu ana uhuru wa point ispokuwa usiende kinyume na sheri.

30/04/2019

Tafakuri ya REO tunatoka wapi tunaenda wapi

05/10/2018

Ukiona make anazingua mpe cheo awe make mkubwa awe na msaidizi wake bimdogo

03/06/2018

Ndudu niwakati mwema tukumbushane tunapo toka natunapo enda hiro nijambo ra msingi Kafka maisha ya mwanadamu umejipangaje wakati ni mari

22/05/2018
19/04/2018

Ndg maisha yana safari ndefu sana chamsingi nikukabiriana nakinacho kuja mbere yako ikiwa nipamoja nakupambana kwamoyo mmoja paspo kukata tamaa pia kumshlikisha mungu kwa kila hatua atafanya njia nawatakia wakati mwema

Ukawa ndio mpango mzima
31/08/2015

Ukawa ndio mpango mzima

22/08/2015

CCM VIPANDEVIPANDE. Hatimae ariyekuwa waziri mkuu freadrick sumaye ahamia ukawa.

20/08/2015

Pamoja tuna weza kukomboa inch hii kwakuchagua kiongozi anaefaa wakati nihuu ndg zangu.

31/07/2015

Pamoja sana wadau kimtizamo wako wako nikweli siasa nimchezo mchafu au nimsemo tu

22/07/2015

Tusifanye makosa kuchagua viongezi wabovu tukaja kujutia badae tuchague kiongozi bora si bora kiongozi

11/07/2015
10/07/2015

Ndg zangu maisha nisari ndefu sana majaribu.makwazo yakira aina inakupasa kusima nakumtegemea mungu usitegemee akiri yako yenyewe utapita kwakira magu yario mbere yako

Address

ISAMILO
Mwanza

Telephone

+255765458942

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UHURU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share