Click The Hope

Click The Hope Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Click The Hope, Church, Pasiansi, Mwanza.

20/07/2022

Sikia habari za mwandishi ambaye wakati wa uhai wake aliandika zaidi ya makala 5,000 na vitabu 40. Mwanamke aliyeishi katika karne ya kumi na tisa ambaye maandishi yake bado yanaleta mapinduzi ya kimaisha, kifikra na kiroho kwa mamilioni ya watu duniani kote hadi hivi leo.

Karibu kwenye Nasaha za Kalamu Iliyovuviwa, mfululizo wa nukuu za Ellen G. White katika mfumo wa video kutoka UDOM West Social SDA πŸ˜‡.
Jiandae kuguswa, kufurahishwa, kubarikiwa, na kubadilishwa, AmenπŸ™.

Unatafuta kitu bora zaidi? Unatafuta njia ya kutoka kwenye shida zako? Untafuta majibu ya kuaminika? Unataka amani kamil...
18/07/2022

Unatafuta kitu bora zaidi? Unatafuta njia ya kutoka kwenye shida zako? Untafuta majibu ya kuaminika? Unataka amani kamili ya moyo? Unahitaji kuishi kutimiza kusudi? Unatafuta msamaha
Tuko hapa kukuelekeza kwa yule atakayesaidia, Yesu Kristo.

Karibu πŸ€—.

Address

Pasiansi
Mwanza

Opening Hours

08:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Click The Hope posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category