26/05/2026
π₯ MSAFARA WA BARAKA UMEWASILI MWANZA π₯ππ₯
Mapokezi ya mgeni wetu wa heshima Apostle Boneka Boneka yamefanyika kwa nguvu na utukufu mkubwa πβ€οΈ
Mji wa Mwanza umebarikiwa kupokea msafara huu wa neema kwa ajili ya KONGAMANO LA KUFUNGULIWA litakaloanza tarehe 27 hadi 31/05/2026 π₯
Baadhi ya watoto wa baba yetu Shepherd Bushiri wameungana katika mapokezi haya ya kihistoria πβ¨
β οΈ Kuna jambo kubwa Mungu anaenda kufanya wiki hii!
βοΈ Miujiza
βοΈ Uponyaji
βοΈ Ufunguliwaji
βοΈ Rejesho la maisha
π MWANZA JIANDAE π₯
Muda wa neema umefika πβ€οΈ