15/07/2025
Hi everyone.
This page has been active for more than five years.
Unfortunately we need to change our Page and switched to another one. We shall soon shut down this page or change its name. This is because we switched from NTHC-T (New Testament Holiness Church Tanzania) to CBC-T (Covenant Brethren Church Tanzania)
Habari ndugu zangu,
Huu ukurasa umekuwa hai kwa zaidi ya miaka mitano sasa,
Kwa masikitiko makubwa tunahitaji kubadilisha ukurasa na kuhamia mwingine. Hivi karibuni tutafunga ukurasa huu au kubadilisha nina. Hii ni kwasababu kulibadilisha dhehebu kutoka (NTHC-T Kanisa Takatifu la Angani Kipya) kuenda (CBC-T Kanisa la Ndugu wa Agano Tanzania)
Thank you all. Ahsante nyote.